Kutoka Juice ya Miwa mpaka Magari 100 ya Mbao – Safari ya Mafanikio ya Chempa!

Anza na wewe ufike huko. Binadamu sehemu kubwa ya maisha yake husema uongo hasa kinapofika kipengele cha mafanikio ya maisha yake
 
Dah maisha yana Siri kubwa aise
 
Anza na wewe ufike huko. Binadamu sehemu kubwa ya maisha yake husema uongo hasa kinapofika kipengele cha mafanikio ya maisha yake
🙌🏻🙌🏻🙌🏻Kwa kweli mkuu ni vyema nipambane na ka njia kangu kwa upande wangu kwenda kuuza juice ya miwa hapana
 
Kauze miwa uone kama utatoboa?.kuna vitu vingine kwenye biashara huwezi kuviona ni mwenye biashara tu ndiyo huwa anajua anavyofanya ili kukuza biashara yake.Anakuwa anaonekana kwenye biashara hii kumbe baishara kamili anayofanya ni nyingine kabisa
 
Aise ni kweli sometimes huwa hivyo japo biashara nyingi ndogo hufanya vizuri
 
Kama bakhresa tu na yeye alikuwa fundi viatu,
Mafanikio ya mtu ni Siri yake huambiwi vyote
 
Lorry 100 unazijua wewe in a span of 10 years ?? Tuodolee upuuz.i hapa. Madogo mnachukulia kila mtu fa.la.

Nawajua watu kibao wameenda mafinga kujitafuta for over 10 years....wana hela ndio ila sio kwa ukwasi huo.

Achana na huyo yupo mzee mmoja namjua ana mzigo mbayaa anafanya hyo biashara for over 20 years ana agiza mbao za kufa tembo huko huko mafinga still hzo semi trailer 100 hana.

Porojo Tu
 
Time frame kama Haiko Sawa ivo for just 10 yrs ku acquire hio Weath bado ni Uongo, Unless uniambie Kuna wadau behind the scene wametia Mzigo na Rafiki yako yupo kama Kimvuli apo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…