Azimio Jipya
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 3,362
- 1,133
shoga upo bado??Kundi la wanung'unikaji
shoga upo bado??
Nikilimlinganisha na mtu anayeishi na Kimada gesti (sorry), nikilinganisha na mtu anaye aliyesimamishwa na chama cha kikabila, nikiangalia shinikizo la kugombea limetoka kutuka kwa kundi fulani la dhehebu la dini, KURA yangu kwa KIKWETE kwa sababu;
1.anatoka chama kinachodumisha umoja, mshikamano, amani na utulivu wa taifa hili;
2.ametekeleza mengi ya yale aliyoahidi 2005(kejeli utakavyo lakini kweli imesimama)
3. anauzoefu wa uongozi kuliko wagombea wote.
4.ana busara, wala hadanganyi ili tu apewe kura( slaa ni muongo)
5.chini ya uongozi wake demokrasia imekuwa na amesimamia kwa dhati vita dhidi ya rushwa( bado kuna haja kuongeza kasi though)
Watu hao uliwabeba wewe mgongoni?

lini amewahi kuongea vya maana? Huyu tena wakati wake mshauri alikuwa mke wake,tuachane naye
babu kachoka, ameongea pumba tupu.
Kundi la wanung'unikaji
kwani mama yako amekwisha toka chumbani?
Vile vile JK alihoji ahadi za treni iendayo kwa kasi na kusema hazitekelezeki na kuziita ni "absolutely ridiculous.................."
Kuwaita wenzie absolutely ridiculous ni kuwatusi kwa sababu maana yake ni wajinga......lakini usitegemee polisi aliyewateua yeye mwenyewe kumhoji juu ya hilo tusi la wazi kabisa la kuwadharau wenzie......

ninachofikiri si lazima kiwe kile wanachofikiri wapiga kura wengine, matakwa ya wapiga kura wengi ndio yatakayo amua na hii itajulikana wakati wa kuhesabu kura tu.
mkiacha kulia lia na kufanya kazi mtafika tu, hata ngili maji ilianza kama kende.