Elections 2010 Kutoka kampeni za mwisho za CCM Jangwani

Elections 2010 Kutoka kampeni za mwisho za CCM Jangwani

Nini maana ya first lady?

Vipi Ikulu Kuingia na wote uliozaa nao mjini..! Are they not First ladies?

Nini chakujivunia hapo?

Anyaway! tukaongea na Ma-box ya kura... its all what it matters now!!
 
Namshangaa JK. Anamwa awala kibao lakini hawataji. Ni nanai asiyejua kuwa anavimada. na je yukowapi aliyedai kaporwa mke waliyempandikiza. Kila siku Dr. Slaa anaendelea kulala na ye kitandakimoja. Hana hoja huyo. Kesho anaadabishwa kwa kura.
 
Nikilimlinganisha na mtu anayeishi na Kimada gesti (sorry), nikilinganisha na mtu anaye aliyesimamishwa na chama cha kikabila, nikiangalia shinikizo la kugombea limetoka kutuka kwa kundi fulani la dhehebu la dini, KURA yangu kwa KIKWETE kwa sababu;
1.anatoka chama kinachodumisha umoja, mshikamano, amani na utulivu wa taifa hili;
2.ametekeleza mengi ya yale aliyoahidi 2005(kejeli utakavyo lakini kweli imesimama)
3. anauzoefu wa uongozi kuliko wagombea wote.
4.ana busara, wala hadanganyi ili tu apewe kura( slaa ni muongo)
5.chini ya uongozi wake demokrasia imekuwa na amesimamia kwa dhati vita dhidi ya rushwa( bado kuna haja kuongeza kasi though)

Na wasi wasi wa familia yako ni yakifisadi kwa hiyo unataka kulindwa zaidi
 
Kama kawaida yao CCM Jangwani ilifurika kijani. Lakini kesho baada ya Uchaguzi na matokeo kutangazwa ndiyo MWISHO WA KIJANI/NJANO.
The Orijino Komedi walikuwepo ili kuvuta watu maana bila hao mikutano ya CCM ni ZZIIIIIIIIIIZIIII.
Alipoingia Kiwete Marlaw akaanza kuchakachua ule wimbo wake wa PIPIIPIII kwa vibwagizo vya ki-CCM
Makamba alianza kuongea pumba na utumbo wake,mara anukuu Biblia mara atukane wapinzani na vituu kama hivyo hakuna sera wala chochote. Akamsfia JK eti WAPINZANI WAMEMTUKANA SANA LAKINI YEYE HAKUJIBU LOLOTE NA KUMWAGIA SIFA KUWA NI SAWA NA NABII ISSA BIN MARIAMU yaani YESU KRISTO. Nikamshangaa kwanini asimlinganishe na MTUME MOH'D???. Mkamba keshasahau kuwa JK juzi tu katukana WAPINZANI KUWA NI MAJUHA??!! Kesho tutajua nani Juha kati ya JK na wapinzani.
Akaje Gahrib Bilal, yeye ni mwana nuklei fizikia hana mvuto wowote wa kisiasa. Sikuona point yoyote. Alipomaliza akaja Mwinyi-Mzee Ruksa naye ni yaleyale alipomaliza akaja Njomba Nkapa mzee wa Mambo. Hakuna kitu zaidi ya kumsifia Kiwete kuwa ni Rais mzuri amefanya mengi katika miaka 5! Nikamshangaa, lakini akili yangu ikaniambia LAZIMA AMSIFIE KIWETE MAANA ALIMWOKOA KWENYE MDOMO WA MAMBA WAKTI KESI ZA UFISADI ZILIPOANZA KUUNGURUMA,EPA NA KIWIRA. Si mnakumbuka Kiwete alimkingia kifua kuwa mwacheni Mzee wa watu apumzike asibughuziwe?

Kiwete alisimama baada ya Mkapa huku akiwa na wasiwasi wa KUANGUKA TENA. Niliona glasi kubwa ya maji kwa pembeni bila shaka ni maji yenye Glucose ku-save asije akaiishiwa pumzi na kupiga mweleka. Yeye mwenyewe alikuwa na hofu aliposema LEO HAKUNA MCHAWI HAPA.
Bila shala alikuwa ana jiaminisha na ULINZI WA MAJINI USIOONEKANA KAMA ALIVYOPEWA NA MGANGA WAKE SHEIKH YAHYA.

Hotuba yake ilijaa nyodo na kujigamba,dharau na kebehi kwa Dr. Slaa ATI KUWA DR.SLAA ANATAKA KWENDA IKULU KWA FIRST LADY WA KUAZIMA!!!!Hiyo kauli imeni-bore kwelikweli. Kama siyo dharau ni nini? Nilisikia tena akimsifia mkewe SALMA kuwa kafanya kazi kubwa lakini MABERE MARANDO ANA MPANGO WA KUMFUNGULIA MASHTAKA KWA KUTUMIA FEDHA YA WALIPA KODI VIBAYA which is very true.
Niliishia hapo baada ya kuona hakuna jipya wanalozungumza zaidi ya majigambo.

Anyway MWISHO WA UBISHI NI KESHO. NASEMA USHINDI KWA CHADEMA NI DHAHIRI LABDA WACHAKACHUE KWA MIKAKATI YAO KAMA WALIYOIANZA HUKO MWANZA. JAMBO MUHIMU TUWE MACHO. JAMANI IT KESHO IFANYE KAZI. REPORT ANY ABNOMALITIES,RIGGING,FORGERY THROUGH E-MAILS,SMS TO CHADEMA HQ OR ANY CHADEMA LEADER.

NAWATAKIA UCHAGUZI MWEMA WENYE USHINDI.LAZIMA KESHO CCM TUWADUWAZE WAMEZOEA KUTUFANYA WATANZANIA MAVUVUZELA.
 
ofcoz jk bana ana busara nzuri sana ,kwani anawalinda na kuwatetea mafisadi barabara , ndo maana alisema akiwashtaki nchi hii itayumba, wako juu ya sheria ,au naongopea @BURN

Nikilimlinganisha na mtu anayeishi na Kimada gesti (sorry), nikilinganisha na mtu anaye aliyesimamishwa na chama cha kikabila, nikiangalia shinikizo la kugombea limetoka kutuka kwa kundi fulani la dhehebu la dini, KURA yangu kwa KIKWETE kwa sababu;
1.anatoka chama kinachodumisha umoja, mshikamano, amani na utulivu wa taifa hili;
2.ametekeleza mengi ya yale aliyoahidi 2005(kejeli utakavyo lakini kweli imesimama)
3. anauzoefu wa uongozi kuliko wagombea wote.
4.ana busara, wala hadanganyi ili tu apewe kura( slaa ni muongo)
5.chini ya uongozi wake demokrasia imekuwa na amesimamia kwa dhati vita dhidi ya rushwa( bado kuna haja kuongeza kasi though)
 
NIMEMSIKIA, HANINYIMI USINGIZI, SABABU MY PREZ IS A REAL Dr na sio kama yeye mzeeya wa kujichekesha wakati si hatucheki
 
Vile vile JK alihoji ahadi za treni iendayo kwa kasi na kusema hazitekelezeki na kuziita ni "absolutely ridiculous.................."

Kuwaita wenzie absolutely ridiculous ni kuwatusi kwa sababu maana yake ni wajinga......lakini usitegemee polisi aliyewateua yeye mwenyewe kumhoji juu ya hilo tusi la wazi kabisa la kuwadharau wenzie......

Atahojiwa tu usihofu....ngoja Dr. Slaa aapishwe.

Kikwete ana mengi sana ya kujibu, Ikiwemo kupora mke maarufu wa mfanyabiashara mmoja maarufu ambapo maarufu wote wawili sasa ni marehemu.
 
kwani anayefanya kazi ni first lady? mambo ya first lady si hayatuhusu tutamchagua tu
 
ninachofikiri si lazima kiwe kile wanachofikiri wapiga kura wengine, matakwa ya wapiga kura wengi ndio yatakayo amua na hii itajulikana wakati wa kuhesabu kura tu.

Wewe inaonekana ni moja ya mamluki mliotumwa na JK mkachakachue matokeo kwa kulipwa 5000/- kwa sababu ya njaa zenu maana kama ni kiongozi hujui hata kuangalia vigezo vya kiongozi bora.
 
mkiacha kulia lia na kufanya kazi mtafika tu, hata ngili maji ilianza kama kende.

What do you mean mtafika tu?Tutakapofika hapo wewe tutakuwa tumekuacha wapi?..I hope hatutakuwa tumekuacha kwenye death row...unajua mwenyewe..Days are numbering!
 
Hata huku zenj, amekuja kumfagilia Shein lakini watu hawamsikizi. Ameishiwa na sera.
 
Back
Top Bottom