Elections 2010 Kutoka kampeni za mwisho za CCM Jangwani

Elections 2010 Kutoka kampeni za mwisho za CCM Jangwani

Mmmhh nikiangalia hapo jangwani naona vibaka, majangili, mafisadi na wengine
 
JK: leo hakuna mchawi hapa, mchawi kafa!!! mmmhh sijaelewa hii statement ina maana gani!!! ndo Mkwere kaanza kwa mbwembwe kweli sijui atamaliza

Mshirikina utamjua. Ukitia timu hapo na nguruwe mtu anaenda chini...jini la shehe Yahya halipatani kabisa na nguruwe
 
kasuta migombea na mipambe yao walomzushia ati kasusa Piga kura zote kwa faida usiipotezee
 
Kaanza kukunja uso tena. ZILE dalili za kuanguka nadhani ndo zinakaribia, anaweka pause kwa muda mrefu!!!!
Mbona JK anakata kata, nadhani ana shida. Mwinyi kasema ana afya njema kabisa na ni kijana.Halafu Mkapa kweli alichosema kimetoka rohoni, kweli kuna mijitu mibaya huku duniani ni balaa, of all people, Mkapa alichosema alikimaanisha? Anasema JK ni mchapa kazi, whoop, nimemshangaa sana
 
Hivi jamani huyu mkwere hafikirii chakuongea , kasema wagombea wengine wana wake wa kuazima, kasahau kuwa MKAPA nae alikua na mke wa kuazima, huyu kweli mkwere, kaanza mipasho na ujinga flani hivi
 
Wanaendeleza propaganda za kuwatisha Watanzania. Wanajua hakuna kuiba kura mwaka huu.

Ni mbinu nyingine chafu ya Mkwere.

Mkapa katumika.
 
Hivi jamani huyu mkwere hafikirii chakuongea , kasema wagombea wengine wana wake wa kuazima, kasahau kuwa MKAPA nae alikua na mke wa kuazima, huyu kweli mkwere, kaanza mipasho na ujinga flani hivi

Ukiwasema wao ni matusi lakini wao kutukana ni haki...mkuki kwa nguruwe. Namzawadia kitimoto kwa tusi hilo
 
Afu mkapa kumbe anajua kuimba enhhh!makamba nae anashukuriwa kwa uhodari na kazi nzuri!Mweh..
 
Mbona inanza kuboa Tena? Bora mzee myinyi na mkapa walichangamsha kidogo
 
Nikilimlinganisha na mtu anayeishi na Kimada gesti (sorry), nikilinganisha na mtu anaye aliyesimamishwa na chama cha kikabila, nikiangalia shinikizo la kugombea limetoka kutuka kwa kundi fulani la dhehebu la dini, KURA yangu kwa KIKWETE kwa sababu;
1.anatoka chama kinachodumisha umoja, mshikamano, amani na utulivu wa taifa hili;
2.ametekeleza mengi ya yale aliyoahidi 2005(kejeli utakavyo lakini kweli imesimama)
3. anauzoefu wa uongozi kuliko wagombea wote.
4.ana busara, wala hadanganyi ili tu apewe kura( slaa ni muongo)
5.chini ya uongozi wake demokrasia imekuwa na amesimamia kwa dhati vita dhidi ya rushwa( bado kuna haja kuongeza kasi though)

siamini hata watu wanaotumia internet pia bado wana mawazo haya................ nilidhani kuwa ni wale wa kule kijijini tu ambako wanajua Nyerere bado ndo rais!
Umenisikitisha sana Burn
 
Jamani raha kweli kweli, JK kasema uchungu wa mwana aujuaye mzazi, ghafla mwanangu hapa kasema hivi "Uchungu wa kura aujua mpiga kura mwenyewe" kweli amenifurahisha ana akili kuliko mkwere
 
pesa za watanzania (walipa kodi) ndizo zinazotumika katika kuwahonga na kuwabeba watu kwenye mabasi,,lakini wenye akili wasingekubali,,lakini pia wenye akili wanaweza kwenda na kumpiga chini kwenye sanduku la kura,,mungu awabariki hawa wote wenye utashi.
 
Back
Top Bottom