Rais wako
JK: leo hakuna mchawi hapa, mchawi kafa!!! mmmhh sijaelewa hii statement ina maana gani!!! ndo Mkwere kaanza kwa mbwembwe kweli sijui atamaliza
Mbona JK anakata kata, nadhani ana shida. Mwinyi kasema ana afya njema kabisa na ni kijana.Halafu Mkapa kweli alichosema kimetoka rohoni, kweli kuna mijitu mibaya huku duniani ni balaa, of all people, Mkapa alichosema alikimaanisha? Anasema JK ni mchapa kazi, whoop, nimemshangaa sanaKaanza kukunja uso tena. ZILE dalili za kuanguka nadhani ndo zinakaribia, anaweka pause kwa muda mrefu!!!!
Mbona JK anakata kata, nadhani ana shida. Mwinyi kasema ana afya njema kabisa na ni kijana.Halafu Mkapa kweli alichosema kimetoka rohoni, kweli kuna mijitu mibaya huku duniani ni balaa, of all people, Mkapa alichosema alikimaanisha? Anasema JK ni mchapa kazi, whoop, nimemshangaa sana
Hivi jamani huyu mkwere hafikirii chakuongea , kasema wagombea wengine wana wake wa kuazima, kasahau kuwa MKAPA nae alikua na mke wa kuazima, huyu kweli mkwere, kaanza mipasho na ujinga flani hivi
Mkapa ana lake moyoni.... kaazi kweli kweli, si anataka fisadi mwenzie achaguliwe ile aendelee kulindwa!!!
Mkapa kamaliza kila kitu
Nikilimlinganisha na mtu anayeishi na Kimada gesti (sorry), nikilinganisha na mtu anaye aliyesimamishwa na chama cha kikabila, nikiangalia shinikizo la kugombea limetoka kutuka kwa kundi fulani la dhehebu la dini, KURA yangu kwa KIKWETE kwa sababu;
1.anatoka chama kinachodumisha umoja, mshikamano, amani na utulivu wa taifa hili;
2.ametekeleza mengi ya yale aliyoahidi 2005(kejeli utakavyo lakini kweli imesimama)
3. anauzoefu wa uongozi kuliko wagombea wote.
4.ana busara, wala hadanganyi ili tu apewe kura( slaa ni muongo)
5.chini ya uongozi wake demokrasia imekuwa na amesimamia kwa dhati vita dhidi ya rushwa( bado kuna haja kuongeza kasi though)
Siamini niliyoyasikia hapa, hivi Rais anaweza amini hayo kweli?rais mshirikina, anaanza hotuba kwa kusema kuwa hakuna hakuna mchawi jangwani!
Siamini niliyoyasikia hapa, hivi Rais anaweza amini hayo kweli?