The Dreamer
JF-Expert Member
- Feb 2, 2009
- 1,282
- 21
nipo apa jangwani si mchezo mtu nyomi,kikwete si mchezo,ccm oyee!
Ndicho kinachomfanya leo aitwe Dakta
siamini hata watu wanaotumia internet pia bado wana mawazo haya................ nilidhani kuwa ni wale wa kule kijijini tu ambako wanajua Nyerere bado ndo rais!
Umenisikitisha sana Burn
JK anasema msimchague mtu aliyesema atamwaga damu. Hivi ni nani alisema atamwaga damu?
Naona JK kamaliza hotuba yake ghafula, sijui alikuwa anakaribia kuanguka, manake alishaanza kuishiwa nguvu, lol
Sio kuzidiwa!,inasemekana hawa wastaafu mwanzo walimuunga mkono Slaa.Hatimaye wamejionea aibu wenyewe baada ya kumsikia majukwaani.Kuonyesha kuwa CCM mambo magumu kwa mara ya kwanza Benjamin Mkapa na Joseph Warioba wameonekana jagwani leo katika kufunga kampeni za CCM.
Ja ajabu wote waliop jangwani wana sare za CCM (hakuna ambaye hana sare pale). Kama wana hakika why all this money !!!!!!!
Arsenal 0 - West Ham 0 Half ya kwanza.
Kaka Burn kamwambie Daddy na Mummy wako waanze ku-park mizigo yenu muondoke katika nyumba mlizojiuzia huko O'bay...
Pole sana. Maana siku moja utaulizwa na uzao wako na hutakuwa na la kujibu.
Lakini hana ngoma kama EVA hawala wa JK wa Arusha..Leo hiyo ndio hoja? vipi kuhusu festiledi wa kuazima?