Kutoka katika kikao cha mabachelor

Kutoka katika kikao cha mabachelor

angalau awe na C ya hesabu, C ya chemistry au physics..

hapo wataolewa wa marian girls, kilakala, msalato wengine wachache wa shule za janja janja
 
Mi tataka cheti cha kuzaliwa cha nyanya yake au bibi yake
 
Awe na cheti cha kuzaliwa cha bibi yake na mama yake kabisa ili mwanangu asipate tabu akianza kusema sema dhidi ya wasiasa.
 
Back
Top Bottom