Kutoka Kenya: Mchakato wa wenzetu kumng'oa Naibu Rais unaumbua ubovu wa katiba yetu

Kutoka Kenya: Mchakato wa wenzetu kumng'oa Naibu Rais unaumbua ubovu wa katiba yetu

Kwa hiyo chuki binafsi ya mtu, na uwezo wa kuwaonga wabunge, imetosha kuwasifu na kuwaona wako juu. Lowassa, elimu!! elimu!
Alimuhonga nani kwani mambo aliyofanya kafanyia chumbani kwake si kafanyia hadharani ndo maana hadi ushahidi wa video unaletwa
 
Kwa kadri nilivyofuatilia Mchakato wa kumng'oa Naibu Rais wa Kenya nimejifunza kwamba tuna kazi kubwa sana ya kufanya ili kupata katiba inayolinda maslahi ya wananchi.

Yaani hapa kwetu ukiwa wewe ni Mbunge Rais hata Diwani ukikosana na mwenyekiti wako wa chama akakufukuza uanachama basi wananchi walioridhishwa na wewe wakakupigia kura kama ulivyo kama mwakilishi wao sahihi, hawana cha kufanya ili kukupata tena wewe kama mwakilishi wao.

Kwa Kenya haipo hivyo katiba inalinda sana uamuzi wa wananchi.
Mbona umejichanganya dogo? Kwani kwa kuondolewa Gachagua wananchi na wapiga kura wa Kenya wameshirikishwa?
 
Kwa kadri nilivyofuatilia Mchakato wa kumng'oa Naibu Rais wa Kenya nimejifunza kwamba tuna kazi kubwa sana ya kufanya ili kupata katiba inayolinda maslahi ya wananchi.

Yaani hapa kwetu ukiwa wewe ni Mbunge Rais hata Diwani ukikosana na mwenyekiti wako wa chama akakufukuza uanachama basi wananchi walioridhishwa na wewe wakakupigia kura kama ulivyo kama mwakilishi wao sahihi, hawana cha kufanya ili kukupata tena wewe kama mwakilishi wao.

Kwa Kenya haipo hivyo katiba inalinda sana uamuzi wa wananchi.
Wewe unashangaa nini wakati ni ukweli usiopingika kwamba Kenya siku zote wako mbele yetu miaka hamsini.

Tanzania kila kinachofanywa kinalenga kulinda maslahi ya ccm kiendelee kung'ang'ania madarakani. That's all.
 
Ndo ashtakiwe sasa kwani nani ajuaye kwamba huenda baada ya makamu anafuata yeye
Africa imeoza Sana, hakuna mtu safi. Ukiona hivyo ujue mwingine anatafuta kujisafisha. Kumbe ni mchafu zaidi. Hapo amewahonga na kuwapa ahadi wabunge ili wamtoe kafara mwenzake.
 
Pengine katika africa yote Kenya wapo vizuri sana kwenye katiba na swala zima la uhuru wa vyombo hivyo.
Bunge, mahakama na serikali yenyewe wapo huru kiukweli kweli sio maigizo.
Sio kweli ni pesa,ni ukabila ni chuki hakuna kitu ni wizi mtupu.
Ni maigizo ni shida ni ulaghai.
Mambo ya uwongo hakuna kitu.
Man eat man society.
 
Kinawezekana VIP? Ruto ni fisadi wa kufa, mtu. He huo ndio utawala wa sheria?
Si ndo gachagua aliyekuwa mwandani wake aweke hadharani wizi wake usisahau pia kuwa alikuwa mwandani wa kenyata pia wanaweza kusaidiana kumuadhibu
 
Sio kweli ni pesa,ni ukabila ni chuki hakuna kitu ni wizi mtupu.
Ni maigizo ni shida ni ulaghai.
Mambo ya uwongo hakuna kitu.
Man eat man society.
Usidanganyike kabisa kwani taifa gani liko perfect!? Isipokuwa Kenya wako mbali sana na sio ajabu kwamba ndio taifa linalotukimbiza kwa kila kitu wamefungulia mlango wa ushindani katiba yao Ina mlango mkubwa sana wa watu kushindana kwa hoja
 
... katiba nzuri kisiasa lakini iko sambamba na sera mbovu zinazomilikisha raslimali, kama ardhi, kwa wakubwa wachache ni KIINIMACHO TU!
... DON'T COMPARE OUR BONGO WITH SHITHOLE COUNTRIES!
Taja mkubwa mmoja aliyedhulumu ardhi !? Au umesahau nchini Mwako viongozi wakuu wa ccm na serikali wanavyomiliki na kuhodhi maelfu ya hekari ambazo hawafanyii Kazi!?
 
Kwani Tanzania kuna katiba ana kuna kijitabu tu?
Hapa Tanzania, Kuna mjinga mmoja ( nimemsahau jina lake) alidai "katiba ni kijitabu TU". Cha ajabu Madaraka yake yametokana na hicho kijitabu kufuatwa kinasemaje na anakishika anapoapishwa.
 
Kwa hapa Tanzania ni ngumu kwa vyombo vya ulinzi na usalama kukataa chochote kutoka serikalini maana toka wanaingia humo wanapelekwa kichama zaidi screening inafanyika kama unaviashiria vya uhanaharakati hupati kitu ila ukiwa mwana ccm ni faster..

Only possible way ya kuitoa ccm madarakani ni presha kutoka nje ndio itafanikiwa.

Ila nashanga hivi vyama havijajipanga na unaona kabisa hawapo teyar kukabidhiwa madaraka makubwa kama ya utawala nchini.
Kwa sasa ni best na nafuu sana nchi yetu kuwa chini ya ccm.
Mimi pia naunga mkono ccm.
Ccm kuondoka Madarakani ni muhimu sana haijalishi itaondolewaje , ili wananchi waelewe kuwa nchi bila ccm inawezekana na hakuna mwenye Haki miliki ya kuitawala nchi.
 
Back
Top Bottom