kutoka kimapenzi na member wa JF

Ubaya wake mkigombana tu anakuja kuweka uzi chit chat!



Uzuri wake atakuwa mtaalam wa malavidavi manake atakuwa anaenda kucopy jukwaa la kikubwa then anakuja kupestia kwako!

nitonye ndo zake sio?
 
Last edited by a moderator:
Faida:
1. Utakuwa unaitwa Hani humu Jeiefu.

Hasara:
1. Ukipigwa kibuti Jf nzima itajua (of koz ni haki yetu kujuzwa)
2. Utashindwa kuchovya chovya manake atang'ang'ania kujua Paswedi yako ya JF
3. Vijidemu vya huku vinajifanya vina ushirikiano, ukishakuwa na mmoja sahau kuhusu kulamba asali kwingine.
4. Ukimuuzi tu utakutana na picha ya kibamia chako kule Jf photos
5. Wakware ni wengi humu Jf, hasa vibabu. Jiandae kuvumilia mitongozo kutoka kwa hivi vibabu kwenda kwa Mpenzio.
6. Hakikisha umemuona kabla hujatangaza uchumba, usije kuta unachati na Nyani Ngabu.
7. **********nitarejea..................................
 

hiyo nimeipenda.......
 
Hahahaha! Like ! Like ! Like !
 
kwa msaada zaidi ngoja tumuite babu Asprin, ye ndio mkaguzi labda atakupa expiriensi katika aliowakagua nani anakufaa.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
vailet india papa india mike alpha mike bravo oscar.....?
umenikumbusha mbali sana na hizi Charlie Oscar Delta Echo Sierra........ngoja nijikumbushie nilishaanza kuzisahau ati!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…