Ningeshangaa, unavyopenda ligi weewe
Hata ukizidiwa upo tu, ila hata mie napenda ligi sana
Hata huyo uliyenae unaweza kukuta ni wa hapahapa jf! hujui tu!!Nafikiria kufanya hivyo
Waliowahi hebu nipeni uzuri wake na ubaya wake
Sijambo sweetlady naomba ufafanuzi wa mambo mawili matatu hapa
1.Hii sredi inahusu nini
2.Maana ya Like yako hapo juu
3.Maslahi yako binafsi kama sweetlady kwenye hii sredi
Habari hizi ziwafikie Arushaone, Lily Flower, Mamndenyi, Mamzalendo, Erickb52, Preta, LiverpoolFC, Filipo, marejesho, pakajimy, Dark City na Blaki woman.
Nafikiria kufanya hivyo

Hahahaha! Nimepata ujumbe ila nimefuliaje? Leo mapede full mgomo lol. Kesho makutano nna michapo bado kidogo itanipalia.si ndio hapo.... ntakuwa siendi na wewe trip ya tanga.
Hahahaha! Nimepata ujumbe ila nimefuliaje? Leo mapede full mgomo lol. Kesho makutano nna michapo bado kidogo itanipalia.
Hahahahahaha! Nnayo mingi lol, au uje ulale huku leo nikusimlie usiku kucha teh teh teh! Itabidi kesho tuwahi makutano lol. Afta breki fasti tu !hahahaha!!! mie ndio maana nimekutafta huku siku nzima. lol!!!
unanipa hamu ya michapo..... natamani nikaadjust mishale ya saa isome sa tisa usiku sahv. lol
Hahahahahaha! Nnayo mingi lol, au uje ulale huku leo nikusimlie usiku kucha teh teh teh! Itabidi kesho tuwahi makutano lol. Afta breki fasti tu !