Kutoka kitabu cha Kabendera: Mohamed Dewji alipotekwa alikuwa anapelekwa Benki jioni baada ya wafanyakazi wengine kutoka

Wengi wenu ni either CCM au watu kutoka pande za Chato. Uozo wa Magufuli ndio kwanza unaanza kujulikana subirini mtaona.

Wewe kwa akili zako unaamini Mkapa hakuwa na hela au namna ya kwenda SA kupata matibabu hadi apewe na rais wa nchi?

Kwa akili zako Jiwe alikua na watoto 27 ambao hawajulikani hadi leo au anaendelea kuwaficha?

You must be as dumb as a brick kuamini hizi story.
 
Unaweza kuwa trillionare lakini ukanyimwa ruksa ya kutoka nje ya nchi na mkuu wa nchi. Mbona Mo Dewji na matrilioni yake alitekwa na kupelekwa benki kila siku kwenda kudraw mapesa mengi, si hao hao vibaraka wa Magufuli walifanya hayo?

Ungeniambia tu kwamba kwa Msukuma watoto 27 ni kawaida ila sio kupinga.
 

Mkapa na mstaafu yeyote yule hawajawahi kuhitaji ruhusa ya Rais kutoka nje ya nchi. Kikwete alikua na bado anaruka kila siku kwenda nje. Ruhusa zilikuwa kwa watumishi wa serikali waliopo madarakani muda huo tena senior officers. Hata mtu wa kawaida mtaani hakuhitaji ruhusa ya rais.

Pili, kitabu kinasema JPM alimnyima pesa sio ruhusa, naona unabadilisha magoli. Ndo maana nimeuliza kwa akili zenu Mkapa hana hela au connection ya kwenda kutibiwa nje wakati hadi watu wa kawaida kabisa wanaenda nje?

Let's play dumb tuamini ana watoto 27 kweli, hao watoto wapo wapi au bado anaendelea kuwaficha? Hii mbona ni ishu ndogo tu watu kujulikana au hao watoto anawajua Kabendera tu ila mtaani hakuna mtu hata mmoja anawajua. Tunawajua watoto wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa, JK hadi wajukuu zao iwaje JPM watoto 27 wote wasijulikane?

Kuamini Mo Dewji alikua anapelekwa bank ku withdraw pesa ni uzwazwa wa kiwango cha juu. Rais mwenye mamlaka yote at his disposal hahitaji kuteka mtu ili apate hela zako. BOT, TRA, mahakama zote zipo chini yake ni call moja tu kuwaambia wafreeze accounts zako na wafanye wire transfer na watafanya hivyo in a heartbeat. Kuna kipindi accounts za watu zilikuwa frozen zaidi ya kipindi cha Magu? Kama aliweza kwa wengine nini kilimshinda kwa Mo hadi amteke? Nyie watu akili zenu sijui mmezikalia reasoning ndogo kabisa inawashinda.

Itoshe kusema Kabendera kawaona misukule na mlivyo mazwazwa mnaamini kila kitu bila reasoning yeyote ile.
 
Humjui Magu hata kidogo.
 
Humjui Magu hata kidogo.

Wewe na Kabendera tu ndo mnamjua ila nchi nzima hakuna mtu mmoja anajua hao watoto 27.

Inafikirisha mtu mzima na ndevu zake anaamini rais mwenye absolute power anahitaji kuteka mtu ili kuchukua pesa zake wakati instruments zote za serikali zipo chini yake. Mitanganyika mna safari ndefu sana kwa akili hizi.
 
watanzania wanapenda stori za ivo, kuumiza kichwa hawataki

yaan raisi anamwogopa mo kiasi cha kuhangaika ivo daaah
 
Hao wenye absolute power ndio watekaji na wauaji wakubwa waangalie akina Putin.
 
Hao wenye absolute power ndio watekaji na wauaji wakubwa waangalie akina Putin.

You lack comprehension skills and it shows.

Kitabu kinasema alimteka MO ili MO aende bank kuwithdraw pesa, nauliza kwa akili zako Rais wa nchi mwenye instruments and controls zote za serikali under his belt anahitaji kukuteka ili achukue pesa zako bank? Rais anashindwa kuipigia hiyo bank, BOT, mahakama, TRA wafreeze accout yako hadi akuteke? Hebu fikirisha ubongo wewe jamaa.

Kitabu kinasema alimnyima Mkapa pesa kwenda SA kupata matibabu sio ruhusa. Elewa tofauti ya pesa na ruhusa. Kwa akili zako ndogo ulizonazo, Mkapa alikosa pesa za kwenda SA mwenyewe kupata matibabu?
 
Mtunzi wa kitabu arudi tena mezani, uongo wake ni wa kitoto mno!!! Wananchi wamegoma kupokea hizo propaganda.
Kwakweli !
Hii imedunda Wanasemaga watoto wa mjini !
Hakuna tena mtu yeyote anayeweza kuwaaminisha watu hizo habari za kutunga tunga kuhusu Magufuli !
 
Exactly!

Hata mimi wala simtetei Magufuli.

Ila mtu akija na stori zake akiniambia Magufuli alifanya hivi au vile, nikiona simulizi yake haiingii akilini, nitahoji mpaka pale utaponishawishi zaidi.
Do u really think things must first make sense with u before they happen ?

When things want to happen they just happen it doesn't matter whether they make sense with you or they don't.

I hope leo umejifunza kitu kipya kwenye maisha yako
 

Mo kuhamia Dubai kumbe ni haki yake
 
Wewe ndiyo kituko

Kulikuwa na ulazima Gani wakati wa Escrow watu kwenda na magunia kuchukuwa pesa Bank wakati wangeweza kupelekewa na magari majumbani kwako??

Acha hizo hujui nyamaza!
Hii ni tofauti kabisa na hii fiction
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…