Kutoka kitabu cha Kabendera: Mohamed Dewji alipotekwa alikuwa anapelekwa Benki jioni baada ya wafanyakazi wengine kutoka

kuisha ni kuisha hata ukiisha vizuri umeiisha

yaani ka~flag anajulikana anamchukia mwamba magufuri leo anaandika kitabu cha uchunguzi kwa amchukiaye utegemee aatandika mazuri umerogwa wewe umuaminiye
Ndio anamchukia sana na amepasua kila kitu nani asiyejua ukatili wa Magufuli?
 


Huyo kaflag kawaokota watu humu JF..
 
Mafisadi and their friends from Ughaibuni wameula wa Chuya 😳
Jamaa HACHAFUKI Hachafuliwi Hachafukiki kirahisi namna hiyo !
TUMEKATAA 🙏🙏 !
 
Sidhani km kusoma vitabu Kuna shida mkuu
 
Sidhani km kusoma vitabu Kuna shida mkuu
Lengo la kusoma kitabu ni kuongeza maarifa maana maarifa yamefichwa kwenye maandishi hivyo lazima usome vitabu ili kuyapata hayo maarifa yaliyofichwa kwenye maandiko ama maandishi.

Sasa unasomaje kitu ambacho hakikuongezei maarifa ama jambo jipya lolote. Huo muda si bora ulale ama ucheze karata.
 
hicho kitabu mm naona kinaongeza idadi ya machawa tu
 
Siamini kabisa Magufuli alimzuia Mkapa asisafiri.

Hakuwa mtakatifu ila hakuwa mtu mbaya kiasi hicho.
Aliuwa watu na kupora mabilioni ya wafanyabiashara kwanini unafikiri ashindwe kumzuia Mkapa asiende nje ya nchi.
 
Aliuwa watu na kupora mabilioni ya wafanyabiashara kwanini unafikiri ashindwe kumzuia Mkapa asiende nje ya nchi.
Uchaguzi wa 2020 watu wachadema baadhi yao kama wagombea waliteswa na kutupwa maporini ushahidi yule mkuu wa wilaya ya longido alisema

Mgombea wa jimbo la majaliwa aliokotwa maporini akiwa ajielewei baada ya kupokea kipigo kizito kosa lake ni kutumiza haki yake ya kikatiba

Haya ni baadhi yalifanyika ila mtu ataibuka huko atasema ni uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…