Mhhh ngumu kumeza, ila chochote kinawezekana kwenye soka, kama ureno kaweza why not for england
Brazil kizaz cha Ronaldo,Ronaldihno,Cafu Bebeto,Denilson wamebeba kombe ardhi ya Japan Ronaldihno anamfunga Seaman goli la umbali wa Mbez luis to Kivukoninao brazil vipi?
kuna kiuongo alikuwa kati pale nlikuwa nampenda sana mwishoni mwishoni wakat brazil inaelekea mwisho GILBETO SILVA arsenal walabahatika huyu mtu
Kweli mkuu ulichoongeaWakiacha kucheza na media watachukua na wampate kocha mzuri hata akiwezekana atoke nje ya England
Jana naona wameenda sare tangu akina scholes/lampard/gerald watundike daluga hakuna kiungo mzuri aliyetokea tenahicho kizazi kilitimia sana kila idara kwa sasa wafikirie mwaka 2050 sio hao akina walkoti,yaani mpaka sasa kiungo mkabaji hajulikani kiungo mshambuliaji hajulikani beki ndio kabisa
Walikua wachezaji wa kariba ya kiwango cha juu ila hakuna walichofanyia taifa laoItabaki kumbukumbu tu ya wakongwe kina geoff hurts Bobby moore jack charlton nobby stiles Bobby Charlton na Gordon banks mwaka 1966 hicho ndicho kikosi cha kwanza na cha mwisho mpaka sasa kilichowatoa kimasomaso waingereza hao kina frank kipi wamefanya kwa taifa mpaka wazungumziwe?
Tofauti sana na Brazil kila kizaz chenye Jina kubwa kimebeba kombe...Neymar/olimpiki,Kaka/kombe la mabara,Ronaldo/world cupKile kizazi kimewaangusha sana waingereza,kilikuwa kizazi cha wanaojifanya wanajua,,kila MTU alikuwa anajiona star ndo sababu ya wao kufeli....always vizazi visivyopewa nafasi ndo hufanyaga vizuri,,hiki kizazi kikipata kocha mwenye njaa ya mafanikio kinaweza kufanya wonders...