bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Kulikua na Uingereza ya kizazi cha akina Paul Scholes,Frank Lampard,Steven Gerald,Sol Campel,David Seaman...nk.Wote hao hawakuwai kufanikiwa kupeleka kikombe chochote kile wakiwa na timu ya taifa lao iwe World Cup au EURO Cup
Sasa kuna kizaz cha Akina Jordan Henderson,Adam Lalana,Sturidge,Hart,Walcot,Alli,Rooney japo naye kama vile umri unasogea.
Je kizazi hiki cha sasa kinaweza kupeleka Kombe lolote pale Uingereza??
Sasa kuna kizaz cha Akina Jordan Henderson,Adam Lalana,Sturidge,Hart,Walcot,Alli,Rooney japo naye kama vile umri unasogea.
Je kizazi hiki cha sasa kinaweza kupeleka Kombe lolote pale Uingereza??