Kutoka kofia ya barghashia ya Nyerere 1964 hadi msalaba wa William Lukuvi 2014

 
Heko Punjab Signh

Wewe iko nakaa wapi siku hizi,kule kule newdelhi au umehamia islamabad?

Teh Teh Teh....

Oh Bhai mimi zunguka kidogo mama Amrita chokesha sana yeye taka business expansion mimi choka sana si.najuwa hii toto ya baba taifa Lumumba boys omba omba nyingi wizi haitoshi.

Wewe wapi iko hapana sikia siku nyingi mimi fikiria wewe rudi kijijini kule.
 

ha ha ha ha

Punjab Signh

Mimi iko nashangaa tumbiri kama lukuvi enda hubiri mfumo kristo kule makanisani..

Ha ha ha Eti nasahu kuwa nchii hii yetu sote,leo iko wao ota mapembe ati.

:redface: :redface:
 

Nyinyi makafiri kweli mnapenda hizo conspiracy theories! Duuh!

Khalaf mna hasada na vijicho vya kwanini/roho mbaya mno!? Daah!

Nanyi jishughulisheni...na mpunguze kuhujumu Taifa kwa rushwa,ufisadi na ubadhilifu!?

Nimecheka mno hiyo comment yako hapo...jinsi ati unavyostaajab maendeleo na majumba ya Waislam wanavyojengwa kwa haraka mno! Yaani wee kafiri una chuki na hasada saana! Looh!

Maisha yako yoote utaishia kuwa shoe-shiner tu wee!
 

jiulize ni nani huyo ambaye anayafanya yote hayo kweli nimehamini elimu inamatter sana ndio mjue maana ya uzazi wa mpango na si kuzaa tu na kuoa wake zaidi ya kumi eti ili niwe wengi mtawale dunia?????? nani kakwambia kuwa mkiwa wengi ndio kuwa na power ya kutawala dunia
back to my point kote unapoona machafuko huko uarabuni ni root ya mmarekani na yote kwasababu ya hao viongozi kujifanya wanataka kutumia vijiela vya mafuta kutekeleza hayo malengo mliokuwa nayo nyie mnao jiita wasafi kila maali na huko mnaongoza kwa vijana wengi kuwa mashoga

na mjue kabisa lile bifu mlimlilolianzisha 1942 baada ya UN kurudisha taifa la mungu la Israel kwenye ardhi yake ndio hao mabwana zenu wakajifanya wajanja na kuanzisha bifu nawakristu duniani
jua hayo malengo yenu mliuokuwa nayo ndio yanapingwa na dunia ndio maana haya mataifa ya kiarabu yanaandamwa sana na mmarekani
ninamalizia kwa kusema hayo malengo yenu ya kifethuli ndio yanasababisha matatizo yote hayo ndani ya uislam na asilimia kubwa ya vijana wa kiislam hawajui historia ndio maana ni rahisi kushawishika na kufanya ujinga
 

100% correct! Out of this conflict TL will imerge an hero.
 
Last edited by a moderator:
Wakati mwalim Nyerere anapendekeza mfumo wa kura tatu mwaka 1958 kule mkoani Tabora ,ilikuwa mbinu ya kanisa kutaka kushika hatamu.

Watu waliomfadhili Nyerere kama aki na Dossa Azizi,Abdulwahid Sykes na Mshume kiate wote akawageuza mateka ndani ya nchi waliyoipigania.

Haya ya Lukuvi yamezidi kuwafumbua macho waislaam waliokuwa katika usingizi mzito ,kuwa Mfumo Kristo hauna namna ya ku oparate zanzibar kama hakuna muungano.


Alichokisema Lukuvi ni ushahidi tosha wa chuki za wakatoliki dhidi ya Waislaam wa Tanzania.

Tatizo la wakristo wengi hawasomi vitabu baada ya kupata zile elimu za kupeana,Hata akija Askofu kuwahutubia wasomi wa kiwango cha uzamili na uzamivu hukuti wakihoji jambo lolote ,wanaburuzwa licha ya usomi wao.

Ukisoma kirabu kilichoandika na Padri Sivalone kiitwacho Kanisa katoliki na siasa Tanzania bara,Dr.Sivalone kaweka mambo yote wazi kama alivyoweka Likuvi kule kanisani.

Yote yaliyosemwa na ustadh Ilunga ,Shekh Ponda Issa Ponda,na Mashekh wa taasisi ya uamsho ni mafunzo tosha kwa mtu mwenye nia njema na nchi yetu.

Badala ya serikali kuyafanyia Kazi wakakimbili kuwakamata na kuwaweka gerezani na kumtumia Mkristo mwenzao mwenye siasa kali DPP Elieza Felishi kuwadhibiti kwa kuwanyima dhamana ili kuizima sauti ya waislaam isisikike.

Lkn kwa kuwa uwongo huwa haudumu hata siku moja,Yaleyale waliyoyasema Mashekhna kuitwa wachocheza yaliposemwa na aki na Tundu Lissu kanisa likatikisika na hatimae tukaletewa hati feki ya Muungano.

Sikumwona DPP akiamrisha Aki na Lissu wakamatwe kwa uchochezi na hii ndio chuki iliyopo hadharani na huhitaji kujitoa akili ili kumuelewa Mohammed Saidi.

Pamoja na kanisa kuasisi mfumo wa kinyonyaji,lkn tunaumia wote wakiwemoWakristo nawaislaam.

Watanzania wengi wapo vijijini na huko hakuna huduma za Afya ,Maji wala miundombinu bora.

Endeleeno kuwashangilia watu ambao hata Wabrazilwaliwakataa kutokana na historia ya unyonyaji.

Waislaam haturudi nyuma na kama mtatumia mabavu kuendelea kutukandamiza,tupo tayari kushika silaha ili tukose wote,hakuna mtu mwenye hati miliki ya Tanzania,waislaam hawana cha kupoteza tena mbele ya mfumo kandamizi uliodumu kwa miaka hamsini.
 
ha ha ha ha

Punjab Signh

Mimi iko nashangaa tumbiri kama lukuvi enda hubiri mfumo kristo kule makanisani..

Ha ha ha Eti nasahu kuwa nchii hii yetu sote,leo iko wao ota mapembe ati.

:redface: :redface:

This is 21st Century no where to hide from the dot.com society oriented real time communication.
 
kunawatu kulidhika mpaka siku watakapoua wakristo wote duniani. just apocalypse islam
 
100% correct! Out of this conflict TL will imerge an hero.

Mkuu,

Hivi una ujamaa wowote na wale akina Mutakyahwa!?

Nawatafuta hawa jamaa saana tu! Walikua ni majirani zetu tuliishi nao vizuri mno na tukipendana/tukihishiana mno!

Hata hivyo,kitambo kingi kimepita na nalipoteza contact details zao!? Daah!

Kama utapata taarifa zozote naomba uni-inbox Mkuu plse!

Shukran!
 
Haika,
Ikiwa utaanzia hapo hakika hutoona kile kilichojificha.

Lakini ikiwa utaangalia historia nzima ya Zanzibar hapo ndipo utakutana na
mengi.

Nakushauri hebu pitia uzi za nyuma kuna mengi nimeeleza kuhusu Zanzibar.

Najua historia yetu inahusisha watu wa dini mbalimbali. Sehemu ndogo sana haikuhusisha watu wa dini. Na kwa kuwa WALIAMINI katika dimi zao. Waliongozwa na imani yao kutenda mema.
Haiyumkiniki kuwa waligombania uhuru kuimarisha dini zao. La ila walikuwa wameiva kiimani ndio sababu wakaweza kufanya walichofanya na kwa hakika wamepata baraka.
Shida ni sisi wajukuu tusio na imani ya kweli kwa muumba wetu. Tunadhaniajina ya kikristu au kiislamu. Au mazuri ya wazee wetu yanatusimamia.
Tunachotakiwa kurudi katika mafundisho ya imani zetu. Kuona jinsi tunavyotakiwa kuishi.
Kosa la mwenzangu halitakiwi kuniyumbisha katika nia yangu ya uaminifu kwa muumba.
 
WEWE bin adamu, great thinkers wanakata maswala wewe unaleta madrasa humu- ni wakati wa kuamka-kumepambazuka,yaliyopita yamepita wewe umeshachelewa hakikisha wanao wanaenda shule,iwe mwiko kuwaoza wakiwa bado wadogo

Nimekupa solution ya matatizo yanayokusibu. Niamini hujachelewa fuata ushauri wangu. Kila la heri
 
kunawatu kulidhika mpaka siku pwatakapoua wakristo wote duniani. just apocalypse islam

Mkuu,

Hiyo statement yako ni woga uliofungamana na upotoshaji!? Daah!

Hakuna kitu kama hicho katika imani ya Kiislam Mkuu!

Nakuhakikishia yakua Waislam...kama hawajachokozwa au kunyimwa haki zao za msingi...ni watu waadilifu mno!

Labda weye unazungumzia ile topic ndefu mno na very complex...ya self-defense in Islam,au!?

Usijitishe Kamanda! Waislam ni wana-Adam wema mno na wastaarabu...kama vile wana-Adam wangine wowote tu wale!?

Au nikuwekee picha Mkuu!? Daah! Teeeh! Teeeh! Teeeh!
 

Kweli wewe ni chizi kama jina unalotumia humu linavyoonesha. Aidha habari hizi ni vyema ukawapelekea wachungaji wako ambao kila kukicha wanatangaza habari za mapepo huenda mkasaidiana kwa hili.

Kwa kifupi Kitabu Kisichoshaka hukijui ni vyema ukaomba tukuelekeze kuliko kukaa ukiendelea kudanganywa na hao wanaokuchunga.

Kwa taarifa yako sisi Waisilamu hakuna jambo tunalofanya bila kuanza na kumlaani shaytwaan sasa nambie nyie huko kanisani kwenu mnafanya hilo? Hapa ndio ninazidi kupata mashaka juu yenu maana kwenu shaytwan inaonekana mwamkubali sana. Nambie ni wapi mnaanza na kumlaani shaytwaan?

Ushauri nimeutoa kwa mwenzako fuatilia utaona na ni vyema hata wewe ukaamka sasa hivi.
 
Huo sasa ni uchochezi dont do that young man!

Wee mtoto!

Nani alokufunda kuita Watu Wazima/Wazee hapa jamvini ati young man!?

Ule uchochezi wa kafiri Lukuvi uliukemea!? Au umeona huu tu!? Ebo!

No one is advocating violence and/or physical force here!

So,STOP exaggerate things! Ok!?
 
Huo sasa ni uchochezi dont do that young man!

I am? How you sure are you? Do you know me, my age and what I stand for? Do you think people need my prodding to come to their senses after long 53 years of abuse by the rulling elite?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…