Kutoka kofia ya barghashia ya Nyerere 1964 hadi msalaba wa William Lukuvi 2014


Kuvaa kofia na msalaba ni lugha tu hio...kiswahili ndugu yangu kina wenyewe kama hujui uliza
 
Huko makanisani ambako lukuvi alikuwa anamwaga hizo lahaja zake za udini mbona nyinyi wahubiriwa na maaskofu wenu mlikuwa mnashangilia??

Kama sio chuki tuite kitu gani??

Bado unaonyesha jinsi gani upeo wako ulivyo mdogo, Tanzania ina makanisa mangapi ya katoliki na huyo Lukuvi ameenda makanisa mangapi na kushangiliwa?

Ina maana ukitokea ujinga fulani kwenye msikiti mmoja au miwili ya sehemu fulani wewe utasema waislamu wa Tanzania nzima wamefanya ujinga huo??? Hizo chuki za kidini hazitaifikisha popote nchi yetu, narudia tena somesheni watoto waje wafikirie namna ya kutatua matatizo ya kiuchumi sio ku-create chuki za kidini ambazo hazijawahi kusaidia mahali popote duniani!!!
 

Nicholas,
Katika miujiza ya Allah mmojawapo ni huu.
Hasomi mtu akamaliza angalau Juzuu Ama akaritadi.

Fanya uchunguzi utagundua.

Ukisikia ati ''sheikh'' kasilimu basi jua huyo hajapata
kuwa hata maalim.

Mifano tunayo mingi sana.
 
Kwa hiyo hii thread maudhui yake ni Tanganyika na Zanzibar au Ukristo na Uislamu?
 

Hivi ile hotuba ya Lukuvi Kanisani unaitaje ile? wewe ile umefurahia?
 
Kwa hiyo hii thread maudhui yake ni Tanganyika na Zanzibar au Ukristo na Uislamu?

Unaonesha hujaisoma nyuzi wala post. Kusoma huwezi basi hata picha huoni? Soma kichwa cha habari, kinajieleza vya kutosha.
 

Tusomeshe watoto mara ngapi??

Kwan hii single yenu hadi leo bado tuh haijachuja??

Tukisomesha madoctor kama Alhaj Dau tukawapa mashirika makubwa makubwa kama NSSF na wakaanza kudelivere mnaaanza kulalama mara udinii udiniii..

Sasa mkitakaje??kila mahala pawepo na huo mfumo kristo??

Mmevurugwa nyinyi,alichokisema lukuvi hiko ni kama punje tuh ya yaliyojificha mioyoni mwenu.
 
Nicholas,
Katika miujiza ya Allah mmojawapo ni huu.
Hasomi mtu akamaliza angalau Juzuu Ama akaritadi.

Fanya uchunguzi utagundua.

Ukisikia ati ''sheikh'' kasilimu basi jua huyo hajapata
kuwa hata maalim.

Mifano tunayo mingi sana.

Naam...

Swadakta kabisa.
 

Wakijiripua kutoka Zanzibar wewe unashangaa au unawalaumu? Chris Lukosi ni Mzanzibari? hukumbuki mauaji na kuteswa walikofanyiwa? jikumbushe:

http://www.zanzinet.org/events/zanzibar_violence_april2005.ht ml

[video=youtube_share;kTEUfVXrHDE]http://youtu.be/kTEUfVXrHDE[/video]

Kama kusoma huwezi basi hata picha huoni?
 
Last edited by a moderator:
Unajua wewe mzee unavyofundisha mpaka mtu wa darasa la chini au yule ajaenda shule kabisa anakuelewa vizuri.
 

Hhahahaha, usirushe, ngoja upewe khabari za EAMWS, si aliianzisha Nyerere au sio?
 


Na hawa walichukuwa visa ya Uingereza:


Halafu SubhanaAllah, wanawake wa Kizungu weupe pee, ndiyo wanaoingia kwa makundi Uingereza, hakika Mipango ya Allah ni amazing, unajuwa kwanini wanawake wanaingia Uislaam kwa wingi Europe?


Convert: Lauren Booth the sister-in-law of Prime Minister Tony Blair​



Hicho ndicho kinachowatisha, soma post namba 1 vizuri.

Naona unafanya kila hila, kuuhamishai mjadala Europe na Duniani, hebu turudi Zanzibar na Kilindi.

Jee, umefurahishwa na hotuba ya William Lukuvi Kanisani?
 
Kwa hiyo huyu jamaa roho inamuuma sana wazungu kuwa waislam.
 
 

Huyu ndiye huyo Lauren Booth unayejivunia.
Lauren Booth 'stole my husband - and destroyed my home': Distraught wife accuses activist of betraying her new faith | Mail Online

Amemtosa mume wake baada ya kupata ajali. Ameingilia ndoa ya mtu aliyemkaribisha na kumnyang'anya mume. Kama hawa (Lauren na Samantha Lewthwaite) ndio converts mnaojivunia basi kweli dini yako ina matatizo.

Baada ya kuwasikia mnavyomwaga sumu humu, nimeanza kumuelewa Lukuvi na kuwa na sympathy nae kuwa angalau amesababisha mtoke chini ya mawe mlikokuwa mmejificha.

Amandla....

[h=1][/h])
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…