Kutoka kofia ya barghashia ya Nyerere 1964 hadi msalaba wa William Lukuvi 2014

Sheikh Mohammed said, huwa nijisikia furaha sana ninapokusoma ama kwa hakika elimu uliyosoma wewe haikuchakachuliwa kama hii tuliyosoma sisi na wengine wengi, ndio maana hakuna anayekupata kwa hoja zako zilizosimama. Kiatu chako hakuna kinachomtosha humu jukwaani ndio maana kila anayejaribu kutia mguu kinamvuka.

Sisi vijana tunakufuatilia sana ili tuwe warithi wa hii mijadala yako kwa watu wasiotaka kutambua ukweli. Ukweli lazima uzungumzwe hata kama mchungu kwa ajili ya kuliponya taifa hili.
 
Nakupa orodha kiduchu ya wazungu makini waliongia Uislam ukipata muda pita google utajua habari zao vizuri.

Unamfahamu Dr.Jeffrey Lang

Unamfahamu Bi Yvonne Ridley

Unamfahamu Murad Wilfried Hofmann

Unamfahamu Yusuf Estes

Unamfahamu Dr.Gary Miller

Unamfahamu Dr.Jerald F. Dirks

Unamfahmu Dr.Timothy J. Winter

Unamfahamu Bi Ingrid Mattson

Unamfahamu Suhaib Webb

Unafahamu Michael Wolfe

Unamfahamu Mussa Cerantonio

Unamfahamu Dr. Laurence Brown

Unamfahamu Bruno Metsu

Unamfahamu Alexander Litvinenko

Unamfahamu Anselm Tormeenda

Unamfahamu Dr.Arthur

Unamfahamu Dr. Rolf Freiherr Von.

Hawa ni wazungu wachache walioamua kuingia kwenye dini ya haki.
 

Nuru Salalmi Ng'oma,
Umenifariji pakubwa sana.

Ahsante ndugu yangu.
 
Nimemsoma posts zake zote anasema waislam wa ulaya ni wakimbizi kuna member moja humu kamwambia atamletea ushahidi.

Hajui alinenalo na nimemuwekea picha ya shemeji yake aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza na nimemuuliza huyo nae aliiomba visa ya Uingereza, au kwa maana nyingine huyo nae ni mkimbizi? Usisikie porojo zao. Wazungu wengi sana wanaingia kwenye Uislaam.

Na UK mpaka 2050 Waislaam watakuwa ndio majority, mimi nasema itakuwa kabla ya hapo, kwani waliofanya ile study, hawakuiona trend iliyopo sasa ya wengine kuoa na kuolewa na mbwa.
 
Sheikh Mohamed Said

Sina cha kuongeza zaidi ya Dua, Allah akujalie maisha marefu.
 
Last edited by a moderator:

Ahsante Al Alama Mohamed Said.

Nikubalie kuwa nnakupa "title" ya Al-Alama, kwa wale wataotaka kuijuwa maana yeke;

Al Alama, roughly ni Professor wa Ma-professor.

Alim = Mwenye ilm (elimu), Alama = anaefundisha wenye ilm, ukiiongozea na "Al" inakuwa ni "unique" amma kwa falsafa yake amma kwa hikma zake amma kwa aina yake.

Kwa haya uliyotufunza na unayoendelea kutufunza humu JF kwa muda sasa, na kwa vitabu na maandiko yako niliyowahi kuyasoma, sisiti kusema, Mohamed Said wewe ni Al Alama.

Darsa unalomwaga humu, ikiwa haueleweki basi kwa hakika ni kwa wale wasio na ilm.
 


Sasa unaanza viroja, nakuuliza huyo aliomba visa au alijiripua Uingereza?

Hayo ya watu maarufu kutanabahi na kuingia Uislaam na mkaanza kuwapaka matope, tumeyazowea wala hayatustui.

Na hawa Jee, walijiripua Uingereza;





Sasa jiulize, Padri tena Daktari wa Kanoni anaezini na kuzaa na mke wa mtu na kutelekeza mwanamke mwingine aliyezaa nae bila ndoa, huyo sijui unamuongeleaje?

Naona umepewa kisa kidogo na Al Alama Mohamed Said, vipi umeridhika au bado una maswali kuhusu Nyerere kujaribu kila hila kuuangamiza Uislaam Tanzania? (kashindwa) na hakuna ataeweza, si wewe, si Nyerere si Lukuvi, Hilo kumbuka. Si hapa tu, duniani unajionea wanaingia Uislaam makundi kwa makundi. Kama huyaoni basi wewe una macho lakini hayaoni, kama huyasikii basi wewe una masikio lakini hayasikii. Pole sana.

Vipi na wewe unamuunga mkono William Lukuvi kwa aliyoyaongea kanisani?
 

FaizaFoxy,
Thanks for your generosity...
Hata sijui niseme nini...

Sifa zote zinamstahikia Allah Subhana Wataala.

Mungu awalipe mema wazee wetu walotufunza adab na kwa walimu wetu
walitusomesha na kuzitia nyoyo zetu hofu ya dhulma.
 


Na hawa ndiyo waliotoka kwenye uislamu:

1.Council of Ex-Muslims of Britain

2.


3. Kuhusu hilo ungezeko kubwa la waislamu soma hapa. Asilimia 75 hadi 50 ya wale wanaoingia Uislam wanauacha ndani ya miaka miwili:

New Statesman | Confessions of an ex-Muslim

Nyie endeleeni kujidanganya wakati watu wanawakimbia kila kukicha.

Amandla......
 

Unaeleta viroja ni wewe. Mimi nimesema "wengi wa" waislamu waliokuwa ulaya ni wakimbizi wa kiuchumi au wale waliokimbia maovu wanayofanyiwa na waislamu wenzao nchini kwao. Wazanzibari wengi wamekimbilia Denmark na Uingereza kwa misingi hiyo hiyo (njaa au dhulma). Kila kukicha utasoma kwenye mitandao tunatangaziwa kifu cha mtanzania ambae jina lake la kisomali ni fulani!

Kuweka picha ya mabinti wa kizungu si uthibitisho kuwa wazungu wengi wanatoka kwenye ukristu kukimbilia uislamu. Unaweza kuwadanganya waislamu wenzako ambao hawajui kuwa kuna wazungu waislamu wa asili (Albania, Bosnia ni mifano michache) kwa hiyo si ajabu baadhi yao kuvaa hijab.

Hilo la mbwa kuolewa nakuachia wewe maana hujui maana ya parody. Kwenye nchi ambazo kuna uhuru wa kuzungumza watu wana haki ya kufanyia mzaha kila kitu. Kuamini hii habari ni kama kuamini habari inayotoka kwenye The Onion.

Mzee wako nishamjibu. Si mara ya kwanza kumpinga na kumuonyesha uongo wake lakini kama adha anadhania akiurudia utageuka kuwa ukweli!

La Lukuvi nishakujibu.

Amandla.....
 

Ujumbe wangu wa mwisho.

Amandla.....
 
Ivi Lukuvi ni chama gani?
Ana wadhifa gani serikalini?
Wadhifa huo alipewa na nani?
Alikua anamuakilisha nani siku akitoa maneno hayo?
Mmetengeneza bomu la masaa nyinyi wenyewe leo limeanza kulipuka mnawalilia wakatoliki si mnataka serikali mbili na kale ka-ZNZ katabaki kama mkoa tu safi CCM kwa hili na hakuna hata kukemea maana Lukuvi kawawakilisha vema kama mlivomtuma.
 
Ujumbe wangu wa mwisho.

Amandla.....
Kabla haujaondoka chukuwa hii bayana kiduchu...
Halafu soma na hii...
Karibu tena....
 
Sijui na hii biashara wanafanya wakimbizi wa Kiislam walioamia Ulaya na Marekani.





 

Fundi Mchundo,
Baada ya yale niliyokufunulia kiduchu ukawa kimya, bado unamini mimi ni wa
''mitaani'' na nasikizwa na watu wa mitaani?

Muda mchache uliopita kabla ya maghrib nilikuwa katika majadiliano kuhusu
muungano yaliyofanywa na VOA mwenyekiti akiwa Abdulshakur Aboud na
''panelists'' akiwamo Prof. Baregu na Hamza Rijal kutoka Zanzibar.

Bado unaniona mtu wa kijiweni?
 
Kuvaa kofia na msalaba ni lugha tu hio...kiswahili ndugu yangu kina wenyewe kama hujui uliza
Lugha naifahamu tena Kiswahili bulbuli lakini uzi ni wa uchochezi uliotolewa na maamuma wa masuala ya dini na siasa safi kwa ustawi wa wote. Hatutaki machafuko wakati tayari nchi si salama kutokana na sera mbovu za chama tawala. tuamke sote, bila ya kujali dini zetu tupambane na sera zote zenye kuneemesha wachache na kuwaangamiza wengi.
 
Naona umeamisha magoli, teh teh teh mada ya mwanzo umeachana nayo umekuja na mada mpya ambao nayo ni ndefu pia tukiendelea kuijadili, mwazo umesema Waislam wa Ulaya ni wageni nimekuwekea wazungu umebadili mada, basi chukuwa tena hii bayana kiduchu hapa chini.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…