johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Fikiria Mwenyekiti wa Chadema aliyekuwa kazungukwa na Wasomi wabobevu kama washauri sasa Washauri wake ni Mwanamuziki wa kufokafoka Sugu Moto Chini, Mlanguzi wa mifugo ya Mpakani Dalali Wenje na mume wa mbunge wa COVID 19 Mzee Kigaila
Unaweza Kupata picha ya ugumu wa kisiasa anaokutana nao Freeman Mbowe Kwa sasa
Na ndio sababu Katibu mkuu Mh Mnyika kazi zake anafanyia Kanisani na ushauri anapata huko huko Kanisa Moja Takatifu la Mitume
Na uwezekano mkubwa Lisu akiondoka na Mnyika atashauriwa Aondoke na hawezi kukataa kulitii Kanisa
Nawatakieni Heri ya Mwaka Mpya 2025
Chadema ni Wapinzani wa Mchongo 😄🔥