Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Uchaguz upi uliopita CDM walishiriki โŒ. Pia mwenye akili timamu kbs bila uchama na uchawa kwa namna uchaguz unavyofanyika bongo ni ngumu san ccm kushindwa kweny uchaguz... Angalia tu ishu ya ujazaji fomu uliopelekea wagombea wa CDM kuenguliwa ni mamb ya hovyo kbs leo hii asimame mtu hapa aseme wagombea wa CDM hawana elimu wala uelewa na hata kusoma hawajui ndio maana walienguliwa kutokana na kukosea kujaza fomu!! NB: ukitaka kujibu kwa ufasaha kbs ondoa uchama akilini mwako....
 
Uchaguzi upi Chadema walishiriki 2025 na kushindwa?Hata huyo anayekulipa hela kwa kupost upuuzi kama huu naye ana mtindio wa ubongo.
Kiukwel hua natafakari san hivi ni kweli wanaccm hawana akili kiasi hiki au ni pesa ndio imewatoa ubongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ