Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
✍️✍️✍️ Mnao ni uliza utajiri na pesa nime pataje 👉 👉 Niulizeni na ule Umaskini Nili Utoaga wapi 🙏🙏🙏 Fisi hafi Kwa shida
Kichwa cha habari hapo juu sio maneno yangu Mimi ni caption ya what's up status ya Moja ya wapwa wangu.
Kutoka kusukuma mkokoteni na kubeba magunia sokoni mpaka kua mfanyabiashara MKUBWA.
Kuna siku jamaa nilikutana nae kwenye kupiga story mbili tatu akanionyesha control number ya TRA kulipia 62m Ili kutoa mizigo yake bandarini.
Je, ni sahihi kuwatimulia VUMBI na kuwapiga vijembe(HATERS) wale watu wote ambao walitudharau na kutuona hatuwezi kuwa chochote katika hii Dunia
Karibuni tujadili.....