Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Mkuu Kuna watu wanakera mkuu 😊🤓 ndugu yangu Huyu kafanya nifikirie zile hustle zake duu.Mimi sidhani kama ni sahihi kufanya hivyo
Mi naona bora akae tu kimya,, masuala ya kuandikiana vijembe as if anaijua kesho yake it's not goodMkuu Kuna watu wanakera mkuu 😊🤓 ndugu yangu Huyu kafanya nifikirie zile hustle zake duu.....
Kuna walio amini hawezi kua chochote katika hii Dunia......
Kuna binadamu ukikaa kwake au Kwao wanaweza kuhisi ume enda kujaza choo chao...😊😊🤓🤓Sio sawa
True Kuna Leo na kesho...Mi naona bora akae tu kimya,, masuala ya kuandikiana vijembe as if anaijua kesho yake it's not good
Yeah ni kweli,, ndugu ambao hawakukuthamini kipindi unahitaji msaada wao kama umefanikiwa ukiwiwa kuwasaidia wewe wasaidie, na kama unaona huwezi better ukae kimya uwajibu tu kwa vitendo kuliko kujifanya unaongea sana mwisho wa siku ukianguka tena watakucheka na kukubeza zaidi ya mwanzoTrue Kuna Leo na kesho...
Very TrueYeah ni kweli,, ndugu ambao hawakukuthamini kipindi unahitaji msaada wao kama umefanikiwa ukiwiwa kuwasaidia wewe wasaidie, na kama unaona huwezi better ukae kimya uwajibu tu kwa vitendo kuliko kujifanya unaongea sana mwisho wa siku ukianguka tena watakucheka na kukubeza zaidi ya mwanzo