Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,151
- 6,261
Maana yangu ni Iko kiraia zaidi not pure civilian but paramilitary Tufauti na Section kama Military inteligency ambazo ziko kijeshi zaidi Tiss ndo baba yao mana Kuwa tu kiraia kunampelekea kupenya kila mahaliUnamanisha nini hapa sijaelewa? You mean kuna civilian agencies ambazo zina uwezo wa ku-operate beyond civilian borders, muundo wake ukawa umeingia hadi ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama, JW, PT, MT, n.k.?
nimekuomba huo uzi wa Pasco aliomtabiria JF uweke hapa hapa km ni JF au yeye mwenyewe tusimsemeeUzi upo Pasco aliwahi kuandika hata mimi nilikuja kuusoma baadaye sana hata Rais tayari akiwa madarakani, nilishangaa sana. Pasco yuko safi namuaminia, ila naona kama siku hizi naye kuna baadhi ya vitu vimeshaanza kumpita, maana unaona anauliza swali ambalo ni dhahiri kuwa halikutakiwa kuulizwa na mtu kama yeye!
Hivi hii huwa ni kweli? au ni myth tu kuwafanya watu tujawe na hofu ya kuwa na mashaka na yeyote aliye Jirani ili hata kama unataka /unawaza kufanya uhalifu ujihisi unatizamwa na kuacha mara moja??Hadi wauza mahindi mkuu wamemwagwa huko...
Mkuu tunateseka utadhani nchi ilikua vitani imeshindwa Vita na inaongozwa na jeshi la adui.Tuoneeni huruma jamani.Wazee hawa wa makoti bahati mbaya wakati mwingine wanalaumiwa sana, lakini ukiwaangalia walivyo fair, wako almost next to God. Wangekuwa wanafanya kazi kwa kutoa Press Release, naamini baadhi ya watu wangefanya makosa hata ya kuwaabudu! Mungu awabariki, tuko pamoja nao sana tu. Maendeleo ya Nchi nitachangia kwa namna nyingine, fomu nimeahirisha!
Hivi watu wanabishana hivi kwa nini? Katiba imeenda wapi? Huu mjadala kwa upande mwingine unaonyesha kuwa watu tulitamani sana kuwa sehemu ya taasisi hizi ila kwa bahati mbaya hatukubahatika. Mimi mwenyewe hapa nilipo, nilitamani sana kuwa JW au Polisi lakini sikubahatika!
Kuna watu wamekuwekea vizuizi, au? Au unataka utumikeje? Si uko hai na unafanya kazi kila siku? Au unataka mpaka uwe Waziri ndiyo uridhike kuwa unalitumikia Taifa? As long as uko mzima na unafanya kazi kila siku, hukai vijiweni kupiga soga wakati wa saa za kazi, be comfortable, kwa jinsi hiyo hiyo unavyofanya kazi kila siku, unalitumikia Taifa!Ndoto yangu kila siku ni kulitumikia taifa langu siku zote, ila sijawahi kubahatika pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vita ya silaha hatuna, ya uchumi tunayo, tena kubwa sana. Ukishagawa (maana si kuuza tu) kila kitu kwa kisingizio cha ubinafsishaji, ili uweze kurudisha mali zako inabidi upigane vita kubwa. Na wanajeshi wa majeshi utakayokuwa unapigana nayo, wengine watakuwa ni raia wako, waliomo ndani ya Nchi yako. Mifano mizuri nadhani unayo. Kumbuka kuwa mpaka muda huu, tuna kila kitu ardhini, lakini hatuna kila kitu majumbani mwetu. Ni bora mara mia maisha yawe magumu sasa kwa kipindi cheetu sisi, halafu huko mbele yaje yabadilike milele kwa kuanzia kwa watoto na wajukuu,. Uwezo wa Nchi yetu kufanya mabadiliko hayo upo, na ndiyo maana tunaonekana kuwa na vita kubwa sana katika kutekeleza hayaH
Mkuu tunateseka utadhani nchi ilikua vitani imeshindwa Vita na inaongozwa na jeshi la adui.Tuoneeni huruma jamani.
Hao watu unaowasifu next to God hawaoni haya mateso?
Kwa Nini wanaingiliaga matakwa ya wananchi?
Hivi hii komenti yangu tu tayari Ni kero kwa baadhi ya Watu.
Mpe kopi ya ujumbe wako Pasco halafu atakupatia. Mimi nilijaribu kuu-search sijaupata. Just PM Pasci and he will immediately setttle your need. HIki ni kitu kidogo sana wala huhitaji kushuku kuwa unadanganywa, kuonyeshwa thread tu?nimekuomba huo uzi wa Pasco aliomtabiria JF uweke hapa hapa km ni JF au yeye mwenyewe tusimsemee
utakuwa na ushabiki na Pasco lkn yeye alikuwa kwa Lowassa kwa mwaka huo wa 2015
Swali kwa Pasco wa JamiiForums na wapambe wenzake kuhusu mtu wao anayetaka kwenda Magogoni
Mkuu Makanyaga kwa vile sio ligi, JF ni mambo mengi tunahabarishana na kuelimishana licha ya kupasha Habari huyo Pasco anaingia humu atakujibu wewe, mm ni shabiki wa Pasco sana tuMpe kopi ya ujumbe wako Pasco halafu atakupatia. Mimi nilijaribu kuu-search sijaupata. Just PM Pasci and he will immediately setttle your need. HIki ni kitu kidogo sana wala huhitaji kushuku kuwa unadanganywa, kuonyeshwa thread tu?
Jeshi la kujenga Taifa lipo ndani ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania TPDF, ni sawa na idara kama traffic ndani ya jeshi la Polisi
Mkuu Makanyaga kwa vile sio ligi, JF ni mambo mengi tunahabarishana na kuelimishana licha ya kupasha Habari huyo Pasco anaingia humu atakujibu wewe, mm ni shabiki wa Pasco sana tu
mimi najua na naamini sio yeye shabiki wa JPM kabla ya huo uchaguzi labda kwa sasa atabiri upya
labda wewe akuwekee hizo post zake
turudi kwenye Mada yetu IGP ndiye TOP
Na jeshi lake kwa ujumla linaitwaje maana hizo ni taasisi zinazo jitegemea katika utendaji wake na wala siyo majeshi yote kwa ujumlaUingereza. wana MI5 (Millitary Intelligence 5) na MI6. MI5 ni ya ndani, na MI6 ni ya makachero wa nje, yaani spies!
Millitary IntelligenceNa jeshi lake kwa ujumla linaitwaje maana hizo ni taasisi zinazo jitegemea katika utendaji wake na wala siyo majeshi yote kwa ujumla
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mkutano ukifanyika dsm RC anakaa na mgeni rasmi awe rais waziri au yeyote.Ukiangalia ukaaji kwa zama hizi utachemka,nakumbuka enzi mwana pendwa wa DSM kabla ya Sasa alikuwa kwenye ukaaji ni karibu zaidi ya Magu.Na yeye ni RC tu
Sent using Jamii Forums mobile app
upo sahihi Mkuu hili Dudu ni kubwa na limetapakaa kote, na Ulinzi wa Viongozi ni kitengo ambacho kinabadilishwa pindi inapobidi, au kujengwa imara kikiwa na JW, TISS na POLISI kuna mahali nilisema Walinzi wa JPM sio TISS peke yao kuna inner circle JWTZ nikaambiwa na wajuzi hiyo ni chai ya rangi,Jifunze kutafuta maarifa mkuu,kila kitu kipo kiganjani mwako.Hivi vyote vimetengenezwa na mwanadamu kutovijua au kuvijua ni maamuzi yako tu.
Chai
Askari walio na silaha kali na walio tayari, askari walio na sare za Jeshi na Polisi na askari wasiovaa sare, ndio waliopamba msafara wa Rais na kuufanya ulinzi wake kuonekana si wa kawaida.
Mbali na silaha askari hao pia waliovaa vizibao vyeusi na kuonekana tofauti na ilivyo kawaida huku wakiwa wameshika silaha tayari kwa chochote kile kinachoweza kutokea.
Askari warefu weusi wenye silaha nzito, waliovalia mavazi Maalumu walionekana kuwa makini na tayari kwa hali yoyote.
Mkuu hao wote ni TISS hakuna JWTZ hapo.. zaidi ni polisi ambao pia ni watumishi wa IDARAupo sahihi Mkuu hili Dudu ni kubwa na limetapakaa kote, na Ulinzi wa Viongozi ni kitengo ambacho kinabadilishwa pindi inapobidi, au kujengwa imara kikiwa na JW, TISS na POLISI kuna mahali nilisema Walinzi wa JPM sio TISS peke yao kuna inner circle JWTZ nikaambiwa na wajuzi hiyo ni chai ya rangi,
kweli humu kuna watu wanajifanya kuijua TISS kuliko ukoo wao
View attachment 1383884
Ulinzi wa Rais Magufuli ni wa hali ya juu
View attachment 1383883
Picha ya Siku: Ulinzi wa Raisi Magufuli unatisha.
Hizo combat zisikuchanganye naomba niishie hapa kwa sasa.upo sahihi Mkuu hili Dudu ni kubwa na limetapakaa kote, na Ulinzi wa Viongozi ni kitengo ambacho kinabadilishwa pindi inapobidi, au kujengwa imara kikiwa na JW, TISS na POLISI kuna mahali nilisema Walinzi wa JPM sio TISS peke yao kuna inner circle JWTZ nikaambiwa na wajuzi hiyo ni chai ya rangi,
kweli humu kuna watu wanajifanya kuijua TISS kuliko ukoo wao
View attachment 1383884
Ulinzi wa Rais Magufuli ni wa hali ya juu
View attachment 1383883
Picha ya Siku: Ulinzi wa Raisi Magufuli unatisha.