Kutoka kuwa Mkurugenzi wa TISS na kuwa IGP hii imekaaje?

Umeandika Ag DGIS,
Ag Inamaana gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mgambo na JKT ndio Infantry wa kwanza kabisa wanaotangulia mstari wa mbele katika Vita wakiwa katika Section yenye watu 7 Mjeshi anaweza kuwa Koplo (Section Commender) ndani ya Platoon
kwa hiyo mgambo wanachukua mafunzo yote ya askari wa miguu
Hakuna section yenye askari 7 ni askari 9
 
Hakuna section yenye askari 7 ni askari 9
Ok nakukubali Kamanda, mm nilizoea yale ya kizamani ya Platoon kuwa na askari 27 section 3 Redio na Platoon Commender. kumbe kuna section Commender mbeba RPG
Nakushukuru kwa ufafanuzi ila kutokana na majeshi na Nchi au operation za Nchi tofauti section inaweza kuanzia askari wa4 mpaka 15
A platoon is a military unit typically composed of two or more squads/sections/patrols.
Platoon organization varies depending on the country and the branch
 
Mkuu kwa haya machache umesema, nmekuelewa vyema sana! Asante mkuu. Acha nilitumikie taifa langu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Noted.
 
Platoon inakuwa na askari 27 + Platoon Commander, Platoon Sargent, Field Signolar, Radio Operator na Runner. Jumla wanakuwa 32. Hao watano walioongezeka wanaitwa Makao makuu ya Platoon-Platoon HQ
 
Ccm wameharibu idara baada ya kujaza makada wasio na sifa
 
wote wawili wanasemaje kuhusu virusi vya korona...!? Majibu yao yanaweza kusaidia kujua ni yupi yupo juu ya mwingine kwa nafasi.
 
Wambea sana hao kenge
ee bwana we hao watu walikuwa wakihesabu hata visoda vya bia unazokunywa enzi hizo
uwape watahesabu uwanyweshe watahesabu
na walivyotapakaa huwezi kuwajua, ukikumbuka ya Ulimboka, Roma, Clouds hata ya Mbunge kutwanga risasi ni kumuchia Mungu tu
ni Dude lililotapaa kila kona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…