Kutoka kuwa Warehouse Supervisor Hadi kuwa Casual Labour.

Kutoka kuwa Warehouse Supervisor Hadi kuwa Casual Labour.

gwego1

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2023
Posts
265
Reaction score
897
Dah haya maisha jamani!...
Sahvi nafanya ucasual labor hapa Mgodini. Nasimamiwa kama Manamba! Ama kweli kua uyaone!

Kwahio hii degree yangu imeniangusha?
Ni huzuni kwakweli.
 
Pole mkuu ... jitafute mkuu mpaka ujipate
 
Umefanya kosa gani mpaka ukaporwa position ya Warehouse supervisor
 
Unabidi kuoga chumvi ya mawe kila siku hii ndo dawa ya watu wabaya la sivyo wanakutoa katika ugali wako mtamu
 
Back
Top Bottom