G gwego1 JF-Expert Member Joined Jul 28, 2023 Posts 265 Reaction score 897 Oct 14, 2023 #1 Dah haya maisha jamani!... Sahvi nafanya ucasual labor hapa Mgodini. Nasimamiwa kama Manamba! Ama kweli kua uyaone! Kwahio hii degree yangu imeniangusha? Ni huzuni kwakweli.
Dah haya maisha jamani!... Sahvi nafanya ucasual labor hapa Mgodini. Nasimamiwa kama Manamba! Ama kweli kua uyaone! Kwahio hii degree yangu imeniangusha? Ni huzuni kwakweli.
Vien JF-Expert Member Joined Mar 6, 2020 Posts 6,585 Reaction score 10,363 Oct 14, 2023 #2 Pole mkuu ... jitafute mkuu mpaka ujipate
F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,137 Reaction score 34,793 Oct 14, 2023 #3 Umefanya kosa gani mpaka ukaporwa position ya Warehouse supervisor
G gwego1 JF-Expert Member Joined Jul 28, 2023 Posts 265 Reaction score 897 Oct 14, 2023 Thread starter #4 Shukurani mkuu! Vesper-valens said: Pole mkuu ... jitafute mkuu mpaka ujipate Click to expand...
G gwego1 JF-Expert Member Joined Jul 28, 2023 Posts 265 Reaction score 897 Oct 14, 2023 Thread starter #5 FRESHMAN said: Umefanya kosa gani mpaka ukaporwa position ya Warehouse supervisor Click to expand... Dah watu ni wachawi nikiacha mwenyewe kazi nilikuwa nikienda kazn nakuwa kichaa! Nikitoka eneo la kazi nakuwa Normal.
FRESHMAN said: Umefanya kosa gani mpaka ukaporwa position ya Warehouse supervisor Click to expand... Dah watu ni wachawi nikiacha mwenyewe kazi nilikuwa nikienda kazn nakuwa kichaa! Nikitoka eneo la kazi nakuwa Normal.
Mr. Miela JF-Expert Member Joined Aug 2, 2007 Posts 1,254 Reaction score 2,121 Oct 14, 2023 #6 gwego1 said: Dah watu ni wachawi nikiacha mwenyewe kazi nilikuwa nikienda kazn nakuwa kichaa! Nikitoka eneo la kazi nakuwa Normal. Click to expand... Makubwa.... pole jombaa
gwego1 said: Dah watu ni wachawi nikiacha mwenyewe kazi nilikuwa nikienda kazn nakuwa kichaa! Nikitoka eneo la kazi nakuwa Normal. Click to expand... Makubwa.... pole jombaa
Mwalimu wa tuisheni JF-Expert Member Joined Oct 19, 2019 Posts 6,602 Reaction score 10,801 Oct 14, 2023 #7 Pole sana, ulijiuaje kama uliakua kichaa, au ulisimuliwa ..?
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Oct 14, 2023 #8 Unabidi kuoga chumvi ya mawe kila siku hii ndo dawa ya watu wabaya la sivyo wanakutoa katika ugali wako mtamu
Unabidi kuoga chumvi ya mawe kila siku hii ndo dawa ya watu wabaya la sivyo wanakutoa katika ugali wako mtamu