Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
[h=3][/h]
[h=3][/h]
Tulimalizia show mkoani Mtwara,show ambayo
watu walikuwa na mzuka saaaana
nitoe shukrani za dhati kabisa kwa wananchi waliojitokeza
kwa wingi kushuhudia burudani waliyoikosa kwa mlefu
toka kwangu na team yangu nzima ya WCB,ni show
iliyokuwa maalum kabisa kuukaribisha mwaka
mpya na kuhamasisha swala zima la amani...!!!!
Hotelin kabla ya kwenda uwanjani nikituma salamu
za mwaka mpya ,kwa wananchi wa