Kutoka kwa Hilda: Hawa nao wamendaliwa Press kwa ajili ya Makamu Mwenyekiti CHADEMA

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
‼️ALERT ‼️

Muda huu huko Kilwa Madalali wamekusanya Watu wa CCM, wamewavalisha nguo za CHADEMA na kuwarekodi wakimshambulia Mhe. Heche kwa malipo ya laki moja moja.

Muda wowote kuanzia sasa mtaona video yao ambayo inatokana na hii picha niliyowapostia, Vibaraka wa Nduli Idd Amin Mama wanahangaika sana.😂😂😂.

 
Isingekuwa mashirika ya umoja mataifa na mashirika ya haki za binadamu pamoja na EU kufuatilia kinachoendelea Tanzania.. Heche nae angetekwa na kuuawa kama kina Mdude au mzee Kibao ama wange mshoot kama Lissu...

Wanatumia nguvu sana kumpiga vita, Heche awe makini sana...
 
Gundu liko kwao,hata wameanza kukanyagana!
 
Kadiri wanavyomuandama Heche na sisi ndiyo tuongeza kasi ya kuchangia tonetone. Hao maongozaji wa hizi filamu zao ni vilaza kweli kweli hata hawastuki kuwa tumeshawagutukia. Kodi zetu zinatumika ******* sana
 
Kadiri wanavyomuandama Heche na sisi ndiyo tuongeza kasi ya kuchangia tonetone. Hao maongozaji wa hizi filamu zao ni vilaza kweli kweli hata hawastuki kuwa tumeshawagutukia. Kodi zetu zinatumika ******* sana
Yaani ccm mipango yao ni kama movie ya kibongo...

Unaelewa kabisa nini kinatokea mbele... wanatabirika kirahisi sana na yote hio ni kwa sababu kumejaa vilaza..
 
Walaaniwe na vizazi vyao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…