Hivi Remmy tulishakutana kwenye michepuko yangu enzi zangu? Swali hili pia nalielekeza kwa King'asti Kongosho Preta kerucee KOKUTONA Arabela charminglady Passion Lady MwanajamiiOne Zinduna marejesho sweetlady Elizabeth Dominic. Nitarudi
Ha ha
haaaaa,
watoto wale wote nimeshawabadilisha hata majina.
Kwani huyo mkeo hana kizazi?
Mamndenyi mke wangu Lady doctor ana mapacha wachanga, ni kwamba tumeamua damu yangu isipotee bure!
Nipe wanangu!!
Ilikuwa enzi zile best, kama unao nipe mwanangu/wanangu tafadhali.
Niliwabadilisha damu wakiwa wachanga;
hata ukapime dna haitaendana na yako;
Hukunipenda mimi watoto unawatakia nini?
Damu ya uswati haiwezi kukutoka utaendelea kuwa mswati tu mimi namhurumia sana Lady doctor
Sina maana hiyo mkuu.
Hahahahaha..........my ex husband.
Mjini tulikuleta mie na Blaki Womani......
Lady doctor ukamuona mtamu.
Mtoto wako nilimwachia mume mwenzio Ben Saanane.
Niko na maisha mapya na mpenzi Remote