Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera kwa kubadilisha avatar!!!!!!!!
Upoooo?
Natambua kwamba we ni mke wa yule baba aliyevalia suti.
Lakini nahitaji nitoe ya moyoni..
Kuwa mke wa mtu hakuzui mtu kuelezea hisia zake juu yako.
Nivumilie kwa kweli mimi......bhana....mimi........eee....nikuambie????
Hivi unaweza kuamini kuwa nilikuota jana?
Heeeh...
Nimeku Mrs kweli kweli
Wifi hujambo?
Wewe ni zaidi yake .......lol!
Afu nimekumiss sana wewe. .... and I mean it!
Aisee wewe murembo upo?
Yaani nimekumisije jamani wewe muuuuuuuremboooooooo!!!!!!!!
Hebu do ze nidfuli bana ...lol!!!!!!
Nini mbona unaguna?
Hebu kagua akaunti yako uzuri...
Yaani MRS zinamwagika ujue kwa nilivyo ku.......
Majukumu yananizidi umri
karibu Arachuga bana usijifiche hivyo
Pole sanana majukumu aise
Ila pambana naamini yataisha tuu
una visa vya kanisa weweeee..........sikuwezi!