Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
Nakureceived call saasa hivi...nimeku mrs sana.
Nasubiria aisee
Nina hamu sana na wewe ....lol!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakureceived call saasa hivi...nimeku mrs sana.
Muombe Mungu hayo mapepo yakutoke mchungaji
Nipo handsome...mambo?
hehehe!!! usijali mpenzi, najua huyu ni bazazi aliyejibatiza jina la king. nimekumiss mpenzi.
Nasubiria aisee
Nina hamu sana na wewe ....lol!!
Hivi mimi ni handsome?
Nilikua sijui!
Mambo poa sana
Leo jiandae tutafanya ile makitu!
Mapepo gani?
Taratibu na maneno yako best...nimeolewa nina mume na nampendaaa.
Ila u handsome.
Ya ngn
Soon soon
Mhh najua bana we hapa siwezi kuweka yale maneno ya mwaliko bana hapa nasema taratibu si unajua akina Tized na Mndengereko wanachunguliaNapambana kisawa sawa. Ndo maana nakuwa invisibo. Make a special ivitation bhanaa. A lady haalikwi kienyeji.
Nipo mpenzi, majukumu yamezidi kiaina si unajua nakuandalia maisha............hahahaah!!
Mhh najua bana we hapa siwezi kuweka yale maneno ya mwaliko bana hapa nasema taratibu si unajua akina Tized na Mndengereko wanachungulia
Husninyo umejuajeaise watanibatiza jina sasa hiviunaogopa kuitwa bazazi?
heheheeh!! mekumiss pia, halafu ukiitwa bazazi rocky city hata halinogi. hebu angalia bazazi Arushaone linavyosound good. lol