Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
hahajahaja mtumishi mmoja hivi
Kudadadeki ...............
Lakini wewe..........!!!!!!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahajahaja mtumishi mmoja hivi
Wewe una bahati sana....mke wangu Lady doctor ameamua umchukue binti yetu miss neddy
Kudadadeki ...............
Lakini wewe..........!!!!!!!!!!!
ahsante sana kwa baraka... mamii mkwe Lady doctor..! how have you been? i am in love with my queen, miss neddy!
i love her for sure...
tuko pamoja mkuu...Ahsante mkuu kwa kuniunga mkono katika kampeni yangu hii.
Nilikuwa KING MSWATI IV enzi zangu, naomba sana kama kuna aliye na mwanangu anipe sasa. Nimejadiliana na mke wangu Lady doctor tumeona tuko tayari kuanzisha ALCC. (Arushaone-Lady doctor Children Center).
Naanza na Mamndenyi Madame B Blaki Womani
sidhani sis.. unajua mzee A1 alikuwa safari, so hajaelewa kilichoendelea muda mrefu..
kwani ww una maoni gani sis?
baba paroko umenitusi muumini wako!!Mbeeeeee???????????
Yaani wewe unataka kunipeperushia ka ndege kangu hivi hivi?
haya we mi nakaa kando niwatch movie!!
Yaani wewe unataka kunipeperushia ka ndege kangu hivi hivi?
unajua ni muda mrefu sana naangalia signature yako..! nahisi kuna mabomu aisee!!
baba paroko umenitusi muumini wako!!
waaala simpeperushi,c tunataka mkwe mwenye
mahela,atm isome!!au sio Lady doctor!!
​mbeeeeee!!!ukimalizia ni tyusiHili ni tusi??????
​nini baba paroko!!Yaani wewe!!!!!!!!!!!!!
​mbeeeeee!!!ukimalizia ni tyusi
​nini baba paroko!!