Kutoka kwa manii wakati wa kujamiana

Kutoka kwa manii wakati wa kujamiana

AZIMIO

Senior Member
Joined
Jun 15, 2011
Posts
188
Reaction score
52
Ni matumaini yangu kuwa ni wazima wa Afya.Nakuja kwa mara nyingine kuomba ushauri nikiamini hapa ndio sehemu pekee ambapo huwa napata majibu ya matatizo yangu.Leo ningependa kujua wakati wa kujamiana manii kutoka nje baada ya kumaliza tu tendo ndio kawaida au kuna tatizo? na kama kuna tatizo nani mwenye tatizo? na njia gani ya kutatua tatizo hilo?Mara nyingi kila nnapokutana na mwenzangu nikimaliza manii huwa naziona zinachungulua mlangoni (uke) kwake.je ni sababu inayoweza mwanamke asipate mimba?naomba ushauri wenu tafadhari niweze kufahamu .
 
ha ha ha ha ha ha ha!!!!!!!!!!!!!!!kawaida sana,... ulijua zikiingia ndani hazirudi? pole toto usifanye ngiono
 
Sasa usipoziona maana yake huna umekojawa upepo ukiziona jua kikombe kilikuwa cha babu saaafiii!!!
 
Mi nadhani demu wako ana Firewall kwenye uke wake na wewe amekuweka Reproduction Ban, Mwambie atoe hiyo Ban Au akuweke kwenye Trusted Planters, Ikishindikana tafuta Software za Kucrack hiyo Firewall, ukihitaji hizo software na compatible hardware zake natafute ...!!
 
hahahahaaaa hilo sio tatizo, ni kawaida. Experience is the best teacher!
 
style...wazee wa KICHAGA wakipeleka ng'ombe wakati dume limemaliza kazi, huwa wanalipiga JIKE mgongoni, ili zisirudi zieeleeee kwa mda wa dak 5 - 10......huyo mwenzio mtafutie style ya kuzifanya zibaki kwa muda
 
Back
Top Bottom