Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,383
- 11,197
Yaani mwenzako anachungulia mtungiMmmmh cjaelewa
anauliza kwanini maziwa lazima yafurike
Mwambie aache hiyo tabia asingezaliwa km ukaguzi wa kila mechi ungekuwepo Mm Ushauri tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani mwenzako anachungulia mtungiMmmmh cjaelewa
Xafi xana@miss chaga
Ukikojoa zikitoka nje ujue naniii zako hazina uzito stahiki (makapi - yanaelea ) ila ukikojoa zisipotoka ujue nanii zako zina uzito stahiki (zina uwezo wa kuogelea hadi kunakotakiwa)
Ni matumaini yangu kuwa ni wazima wa Afya.Nakuja kwa mara nyingine kuomba ushauri nikiamini hapa ndio sehemu pekee ambapo huwa napata majibu ya matatizo yangu.Leo ningependa kujua wakati wa kujamiana manii kutoka nje baada ya kumaliza tu tendo ndio kawaida au kuna tatizo? na kama kuna tatizo nani mwenye tatizo? na njia gani ya kutatua tatizo hilo?Mara nyingi kila nnapokutana na mwenzangu nikimaliza manii huwa naziona zinachungulua mlangoni (uke) kwake.je ni sababu inayoweza mwanamke asipate mimba?naomba ushauri wenu tafadhari niweze kufahamu .
style...wazee wa KICHAGA wakipeleka ng'ombe wakati dume limemaliza kazi, huwa wanalipiga JIKE mgongoni, ili zisirudi zieeleeee kwa mda wa dak 5 - 10......huyo mwenzio mtafutie style ya kuzifanya zibaki kwa muda
Mimi huwa nackia zinakuja lkn nikiangalia condom czioni tatizo ni nini?
Wee huwa unajamba kwa mbele, ushawahi ona kija.mbo?