Kutoka kwa manii wakati wa kujamiana

Kutoka kwa manii wakati wa kujamiana

Mmmmh cjaelewa
Yaani mwenzako anachungulia mtungi
anauliza kwanini maziwa lazima yafurike
Mwambie aache hiyo tabia asingezaliwa km ukaguzi wa kila mechi ungekuwepo Mm Ushauri tu
 
Ukikojoa zikitoka nje ujue naniii zako hazina uzito stahiki (makapi - yanaelea ) ila ukikojoa zisipotoka ujue nanii zako zina uzito stahiki (zina uwezo wa kuogelea hadi kunakotakiwa)
 
Ukikojoa zikitoka nje ujue naniii zako hazina uzito stahiki (makapi - yanaelea ) ila ukikojoa zisipotoka ujue nanii zako zina uzito stahiki (zina uwezo wa kuogelea hadi kunakotakiwa)

mmmmmmmh wacha we
 
Ni kawaida kutoka mkuu,na zinamwagika chini kabisa
 
Ni matumaini yangu kuwa ni wazima wa Afya.Nakuja kwa mara nyingine kuomba ushauri nikiamini hapa ndio sehemu pekee ambapo huwa napata majibu ya matatizo yangu.Leo ningependa kujua wakati wa kujamiana manii kutoka nje baada ya kumaliza tu tendo ndio kawaida au kuna tatizo? na kama kuna tatizo nani mwenye tatizo? na njia gani ya kutatua tatizo hilo?Mara nyingi kila nnapokutana na mwenzangu nikimaliza manii huwa naziona zinachungulua mlangoni (uke) kwake.je ni sababu inayoweza mwanamke asipate mimba?naomba ushauri wenu tafadhari niweze kufahamu .

Mkuu kuna style ukimwaga hata povu uoni jitahidi wakati wa kumwaga awe ameinama v

Wala tone mmkuu kila mmwanamke Ana kina chake
 
style...wazee wa KICHAGA wakipeleka ng'ombe wakati dume limemaliza kazi, huwa wanalipiga JIKE mgongoni, ili zisirudi zieeleeee kwa mda wa dak 5 - 10......huyo mwenzio mtafutie style ya kuzifanya zibaki kwa muda

Pigapicha tumsaidie
 
Back
Top Bottom