Kutoka kwa manii wakati wa kujamiana

Sijakupata...
Lengo lako ni lipi

Kutengeneza mimba au kujua manii zinatoka au hazitoki??!!

Fafanua usiogope.
 
Kwa iq yangu mbovu...

Naona dogo anataka kumtia mtu mimba sasa kila akipiga bao anaamini mishahawa yooote inatakiwa ipotelee hukoo shimoni ndio mimba inatokea.....akiona zimemwagika zengine nje anashindwa kuelewa itakuwaje na lengo lake kumtia mtoto wa watu mimba........

Ahahahahahaaa dogo kuwa uyaone.,....sio majumba na magari nooo...watu na mambo yao kama hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…