Papasa JF-Expert Member Joined Nov 2, 2018 Posts 2,619 Reaction score 5,780 May 31, 2023 #1 Tupate tangazo kidogo kutoka kwa wadhamini
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 May 31, 2023 #2 πππ
Nshomile wa Muleba JF-Expert Member Joined Dec 5, 2015 Posts 2,166 Reaction score 5,620 May 31, 2023 #3 Nchi ya hovyoooo hii
M Makojo JF-Expert Member Joined Jan 23, 2014 Posts 4,403 Reaction score 5,392 May 31, 2023 #4 Papasa said: Tupate tangazo kidogo kutoka kwa wadhamini Click to expand... Yeye ndo keshalewa chakali halafu anamwona mwenzake kaanza kulewa.. Ha ha ha haaaa
Papasa said: Tupate tangazo kidogo kutoka kwa wadhamini Click to expand... Yeye ndo keshalewa chakali halafu anamwona mwenzake kaanza kulewa.. Ha ha ha haaaa
P pilipili kichaa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 18,406 Reaction score 14,643 May 31, 2023 #5 masoud ana ujumbe mkubwa sana kwetu, mikataba inayoingiwa na hawa viumbe wetu mingi haina tija kwa Taifa
masoud ana ujumbe mkubwa sana kwetu, mikataba inayoingiwa na hawa viumbe wetu mingi haina tija kwa Taifa
Chillah JF-Expert Member Joined Oct 12, 2016 Posts 8,870 Reaction score 10,066 May 31, 2023 #6 Wapiga deal wana anza kugeukana na akili kuwa rejea
Papasa JF-Expert Member Joined Nov 2, 2018 Posts 2,619 Reaction score 5,780 May 31, 2023 Thread starter #7 Chillah said: Wapiga deal wana anza kugeukana na akili kuwa rejea Click to expand... Hayo ndio mambo yenu chama cha mboga mboga
Chillah said: Wapiga deal wana anza kugeukana na akili kuwa rejea Click to expand... Hayo ndio mambo yenu chama cha mboga mboga
Lovebird JF-Expert Member Joined Sep 27, 2012 Posts 6,383 Reaction score 9,337 May 31, 2023 #8 kuna watu mambo ya msingi wanaongea wakiwa kwenye mvinyoooo akishalewa ndo anaharibu kabsaa na asubuhi anasahauu alomwadithia
kuna watu mambo ya msingi wanaongea wakiwa kwenye mvinyoooo akishalewa ndo anaharibu kabsaa na asubuhi anasahauu alomwadithia