KUTOKA KWA MUHINA KADUGUDA KADU A.K.A SIMBA WA YUDA

KUTOKA KWA MUHINA KADUGUDA KADU A.K.A SIMBA WA YUDA

Muuza madafu wa Ikulu

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2024
Posts
1,277
Reaction score
2,888
“Huwezi kumtoa Baleke, Phiri utuletee Jobe sijui Fred wanasimba wasiwe waoga kusema, hapa uongozi umeteleza hata kama wanataka kwenda nusu fainali au kuchukua ubingwa wa Afrika lakini ndio Center Foward Fred ? midfield Jobe ? Sijui Babacar Sarr eeeh jamani ?

“Hawa wachezaji hawa, ukienda Tandika, Mwananyamala watoto wa kihuni sisi ambao tumecheza mpira and katika level ndogo mashindano haya ya Ndondo wapo kama utitiri,” Mwina Kaduguda akizungumza katika kipindi cha Michezo na Wapo Radio.
FB_IMG_1711176869120.jpg


Kumbuka: Huyu ni msomi na alishawahi kuwa kiongozi wa Simba, tena sio kiongozi tu. "Alikuwa anatoa hadi pesa zake mfukoni ili awanunulie wachezaji wa Simba Chapati" wakiwa kambini kipondi hiko Simba wanalima Bamia pembezoni mwa mto msimbazi ili wapate pesa ya kuwaweka wachezaji kambini.

Kipindi hiko wengi wenu wanaJF hamkuwa mmezaliwa au bado mlikuwa mpo nyakatuntu keisho Karagwe.
 
His really name is Mwina Kaduguda and not Muhina Kaduguda. Mashabiki wengi wa simba wanamchukia kwa sababu huwa hapepesi macho. Yeye hana tofauti na Mzee Kilomoni au Ismail Aden Rage.
 
Back
Top Bottom