Kutoka kwa Ontario; ujumbe wa manufaa kwa baadhi yetu

Kutoka kwa Ontario; ujumbe wa manufaa kwa baadhi yetu

kawombe Kuna kitu akipo sawa.naisi again hii ni ID ya huyo OTARIO ! Why asipost yeye mwenyewe??? Ameliza watu na hayo maforex yake,now anakuja kivingine...uwezi vuna hela kwa kuClick Maus ya Computer
We wasema maneno ya kuambiwa changanya na yako

Usisubiri kutafuniwa kila kitu go & read books visit internet the more u can
 
Upepo wa pesa ni mmoja kati ya walioliwa
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Ili aweze kupata maoni halisi ya Mtanzania Halisi ningemshauri airudie hiyo post kwa lugha ya kiswahili halafu na vigezo aweke kupeleka sehemu barua!..
Kuna watu hawajaingia shule kujua umuhimu wa E-mails lakini ukimwambia aweke plan yake mezani hutaamini mawazo aliyonayo!!..
 
Ngoja tuone,
Ila mi nachojua hata Forex alisema atafundisha Free kabisa kwa watu 300 wa mwanzo lakini tukaja kutozwa charges
 
Wadau munaboa sana sema kwasababu atuonani tu na atujujuani isiwe sababu ya kuandika upuuzi sasa kwenye iyo post ya Ontario kuna sehemu aliyoandika Forex apo au pili hiyo post ajaandika jf lakini jitu linakamia tu kumsama tu
 
Kweli kabisa mkuu!!tena hili alihusiani na hizo story zao.
 
Upepo wa pesa ni mmoja kati ya walioliwa
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Mara upepo wa pesa ni ontario mara upepo wa pesa ni mmoja wa walioliwa, mbona siwaelewi nyie waafrica wa tanganyika?

By the way ushauza ile samsung yako ili upate grisi?
 
Mara upepo wa pesa ni ontario mara upepo wa pesa ni mmoja wa walioliwa, mbona siwaelewi nyie waafrica wa tanganyika?

By the way ushauza ile samsung yako ili upate grisi?
Kitambo tu bro ...lakini unanipa wasiwasi inavyotetea hii ishu kana kwamba hawaliwi! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom