Naitafutia wapi sasa lohNzuri balaa my dear itafute
We wasema maneno ya kuambiwa changanya na yakokawombe Kuna kitu akipo sawa.naisi again hii ni ID ya huyo OTARIO ! Why asipost yeye mwenyewe??? Ameliza watu na hayo maforex yake,now anakuja kivingine...uwezi vuna hela kwa kuClick Maus ya Computer
Sure... We acha tu, nimebaki namuonea huruma!Ahahaaa wit
You tube ipoNaitafutia wapi sasa loh
AhahaaaSure... We acha tu, nimebaki namuonea huruma!
Aiseee pholex hii mbona ina mabalaaKuna mmoja huyo mkaka amekopa kopa maskini hajapata kitu!...basi anaongea mwenyewe barabarani
Maneno anayoongea sasa mmmh, anawataja wote!
TehNani anakusumbua mdogo wangu!!!
Nina maslahi nayo.Teh
Halafu mbona kila penye forex lazima nikukute?
nitakuja unifundishe aseehNina maslahi nayo.
Njoo na kamilioni tu.nitakuja unifundishe aseeh
Wadau munaboa sana sema kwasababu atuonani tu na atujujuani isiwe sababu ya kuandika upuuzi sasa kwenye iyo post ya Ontario kuna sehemu aliyoandika Forex apo au pili hiyo post ajaandika jf lakini jitu linakamia tu kumsama tu
Mara upepo wa pesa ni ontario mara upepo wa pesa ni mmoja wa walioliwa, mbona siwaelewi nyie waafrica wa tanganyika?Upepo wa pesa ni mmoja kati ya walioliwa
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Kitambo tu bro ...lakini unanipa wasiwasi inavyotetea hii ishu kana kwamba hawaliwi! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mara upepo wa pesa ni ontario mara upepo wa pesa ni mmoja wa walioliwa, mbona siwaelewi nyie waafrica wa tanganyika?
By the way ushauza ile samsung yako ili upate grisi?
Kwani hakusema kwanini anachaji?Ngoja tuone,
Ila mi nachojua hata Forex alisema atafundisha Free kabisa kwa watu 300 wa mwanzo lakini tukaja kutozwa charges