Kutoka kwa wadau waliyopo Qatar

Hapa bongo mambo mengi ni trab na trat... yaani yaani yaaani yyaaa yyyya yan trab na trat.

Linchi la ajabu sana hili lenye viongozi wasio na maono
acheni zenu bwana passport zinatolewa vizuri tu kaombeni kwanza ndio mje kulalamika mtu huna namba za nida,huna affidavit,huna barua ya utambulisho,huna cheti Cha kuzaliwa unataka nani akupe passport kwani ni chapati zile
 
Acha kutetea ujinga, Nida peke yake ni document tosha ya kuombea passport, upumbavu mwingine wa nini?

Kuna mtu ana passport ya zamani, kupata mpya huo upumbavu wote wa nini?
 
Acha kutetea ujinga, Nida peke yake ni document tosha ya kuombea passport, upumbavu mwingine wa nini?

Kuna mtu ana passport ya zamani, kupata mpya huo upumbavu wote wa nini?
Kumbe bila nida hupati passport mkuu?
 
Wabongo hawapo sirious na maisha, bla bla nyiiiingi vitendo ziro.
 
Kiswahili kimetuchelewesha sana kuwawezesha watanzania wawe na uwezo wa kufanya kazi nje.Tunabanana hapa kwa ajira za ualimu,polis nk.sehemu nyingi sana duniani utakutana na wakenya nigeria,uganda na nchi mbalimba lakini kwa tanzania ni mara chache sana.Kwa nchi masikini kama tanzania haikupaswa kingereza kukiacha.
 
Kama issue ndogo tu passport imekutowa kamasi Sasa Canada ungekwenda kufanya nini?

Baki nyumbani tu, Abroad si kwa watu wenye bongolala.
🤣🤣🤣🤣🤣Takukuru njooni hapa kuna harufu ya ufisadi
 
Mtoa mada unasema uki apply passport unaulizwa maswali mengi? au ulimaanisha visa?
Passport unaipata bila magumashi, kuhusu kufanya kazi abroad hiyo ni hulka ya mtu, yaani wakenya walisha janjaruka mnoo wakibebwa na ki inglish kompared to Bongo,
Ila qatar kumejaa watoto wakizanzibari wengi tuu walizamia tangia miaka ilee wanajenga viwanja hukupata muda wa kuwaona tu.
 
mkuu kama upo tayar mm nipo na kampuni ya kupeleka watu huko
uwe na pass ya kusafiria, picha 3 ppsize, 2 za kawaida, leseni na vitambulisho vyako vyote toa copy tuwasiliane
Iko wapi iyo kampuni? Towa maelezo ya kutosha ili watu wapate taarifa sahihi
 
mkuu kama upo tayar mm nipo na kampuni ya kupeleka watu huko
uwe na pass ya kusafiria, picha 3 ppsize, 2 za kawaida, leseni na vitambulisho vyako vyote toa copy tuwasiliane
Mkuu ntakutafuta ngoja nifanye mpango wa passport, yangu ni ile ya zamani sijawahi kuibadidili ntakutafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…