United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
acheni zenu bwana passport zinatolewa vizuri tu kaombeni kwanza ndio mje kulalamika mtu huna namba za nida,huna affidavit,huna barua ya utambulisho,huna cheti Cha kuzaliwa unataka nani akupe passport kwani ni chapati zileHapa bongo mambo mengi ni trab na trat... yaani yaani yaaani yyaaa yyyya yan trab na trat.
Linchi la ajabu sana hili lenye viongozi wasio na maono