Kutoka Loliondo: Tazama na sikiliza kwa umakini

Kutoka Loliondo: Tazama na sikiliza kwa umakini

Kwani Loliondo ni Tanzania?mi najua isha uzwa kitambo kwa waarabu ''wala ndege''
 
Natafuta zile picha za Waarabu wa Loliondo. Hapa nimepata video zinazoongelea hali ya huko.

Jitahid mkuu! naskia wamewasumbua watendaji wa loliondo sn. Vp kuhusu babu wa kikombe yeye hapatikan huku kwenye huu mgogoro?
 
Back
Top Bottom