Mwili una glands ambazo zinatoa mfano kama mafuta ajili ya kuulinda kutokana na mikwaruzo, na kuunguzwa kwa jua. Hizi ni sabecious glands. Ukizikamuwa una hatari ya kuingiza humo infections. Sasa kama inakukera bora uoshe uso kwa sabuni kuliko kukamua.