kutoka mafutafuta meupe kwenye pua

kutoka mafutafuta meupe kwenye pua

Bwanga

Member
Joined
May 26, 2010
Posts
46
Reaction score
6
awali nilisikia ni watoto ndo wanaotoka mafuta futa meupe kwenye pua. je sababu ni nini?
mimi nina miaka 27 lakini nikiminya pua yangu inatoa mafuta meupe. sababu ni nini wakuu.
 
Mwili una glands ambazo zinatoa mfano kama mafuta ajili ya kuulinda kutokana na mikwaruzo, na kuunguzwa kwa jua. Hizi ni sabecious glands. Ukizikamuwa una hatari ya kuingiza humo infections. Sasa kama inakukera bora uoshe uso kwa sabuni kuliko kukamua.
 
unatoa mafuta kwenye pua? uarabuni wangekua wameshachimba visima vya kutosha sema tu wabongo nimazuzu.....utaskia hatuwezi chimba mpaka tufanye utafiti wakati jamaa keshasema yapo....
 
Back
Top Bottom