Kutoka magazetini kesho (Yanga)

Kutoka magazetini kesho (Yanga)

Bora muiongelee Yanga mana kwenu kipi kitakuwa habari
 
Yanga kama machester wote wanatiririka kuelekea chini.!
 
Huku yanga, huku man utd mitandao ya udaku imepoaaaa
 
ujinga upo humu nawauliza mikia mwarabu mmemtoa mara ngapi? ili muweze kujisifia mmebakia historia historia hiyo historia husomwa shule mitaani ni hadithi
 
Jaman Tupeni Matokeo Ya Yanga Nini Kimejil?

Unauliza Tende Na Halua Uarabuni? Afadhali Sasa Msemani Wetu "Haiji Lakini Inang'ara " Amepona Kutembea Utupu Kama Alivyoahidi From Msimbazi To Jangwani.
 
ujinga upo humu nawauliza mikia mwarabu mmemtoa mara ngapi? Ili muweze kujisifia mmebakia historia historia hiyo historia husomwa shule mitaani ni hadithi
kweli kabisa yaani wanajipa moyo kwa historia ,sasa magazeti kesho yataandika simba iko icu inasubiri yanga amfunge azam ,hilo halipo sahau hiyo nafasi ya 2.
 
Unauliza Tende Na Halua Uarabuni? Afadhali Sasa Msemani Wetu "Haiji Lakini Inang'ara " Amepona Kutembea Utupu Kama Alivyoahidi From Msimbazi To Jangwani.
Unamzungumzia yupi yule ch.i.z.i wa msimbaz!!! Si yule ambae akiulizwa swali kuhusu timu yake anajibu kuhusu timu nyingine, hivi kwel zinamtosha yule????
 
Back
Top Bottom