Jaman Tupeni Matokeo Ya Yanga Nini Kimejil?
Wewe funga domo lako usubir azam baadae wakutie za kutosha......
Yanga kama machester wote wanatiririka kuelekea chini.!
kweli kabisa yaani wanajipa moyo kwa historia ,sasa magazeti kesho yataandika simba iko icu inasubiri yanga amfunge azam ,hilo halipo sahau hiyo nafasi ya 2.ujinga upo humu nawauliza mikia mwarabu mmemtoa mara ngapi? Ili muweze kujisifia mmebakia historia historia hiyo historia husomwa shule mitaani ni hadithi
Unamzungumzia yupi yule ch.i.z.i wa msimbaz!!! Si yule ambae akiulizwa swali kuhusu timu yake anajibu kuhusu timu nyingine, hivi kwel zinamtosha yule????Unauliza Tende Na Halua Uarabuni? Afadhali Sasa Msemani Wetu "Haiji Lakini Inang'ara " Amepona Kutembea Utupu Kama Alivyoahidi From Msimbazi To Jangwani.