The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
Ilikuwa ni wakati wa utawala wa Hayati John P. Magufuli..
Kuna huyu mtu Crocodiletooth ameanzisha uzi kudai kuwa Askofu hakuwahi kuukosoa utawala wa Magufuli....
Aliukosoa sana kiasi cha Paul Makonda (RC DSM by then) kupewa jukumu la kumzimisha huyu mwamba, lakini alizimika yeye na aliyemtuma. Mpaka sasa Paul Makonda ni irrelevant being hapa Tanzania...
Magufuli alitumia mpaka Bunge kumwadabisha Askofu Gwajima. Katika video hiyo, ameitwa na kamati ya Bunge ya Kinga na maadili kuhojiwa...
Walimtegea sumu au uchawi kwenye kiti. Aligoma kukikalia, badala yake alisimama tu...!
Huyu ndiye Askofu Josephat Gwajima ambaye Jezebel Chura Kiziwi kaamua kupambana naye...!