ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ni kubadilisha tuu Majina ya Viongozi hapo Juu ila maudhui yanasalia kuwa Yale Yale.
Huu wimbo Kwa mara ya kwanza Marehemu Komba aliutunga kumsapoti Jakaya Kikwete na umesalia kuwa Wimbo maarufu zaidi wa chama.
Licha ya nyimbo nyingine nzuri za CCM kama ume wa Wapinzani Kuisoma namba,Wimbo wa Diamond,Harmonise na Zuchu za Kumpamba Samia ila Bado hazijafikia huu ambao una suit Kwa Marais wote na pia ku draw
attention ya kutaka kufahamu where is Dodoma.
Enjoy the vibe 👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DE6mCxUCU4M/?igsh=MTh5YXk5bmZxb282
Swali: Je CCM Bado Ina bendi zinazotengeneza vipaji vya wasanii wake?