Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Jakaya Kikwete akiwa na Washindi wa Miss Tanzania mwaka 1995 katika picha ya pamoja.
Mshindi wa Miss Tanzania mwaka huo alikuwa Emily Adolf.
Miaka takribani 30 iliyopita, hapo Mh. Jakaya Kikwete akiwa Waziri wa Fedha, alialikwa kama mgeni rasmi.
Nyakati zinakimbia sana.
NB:
RIP Hasheem Lundenga aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Tanzania,