isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,560
Hilo chama wakati huo unaenda kuangalia mpira bila pressure kabisaGolia david seaman!! Hii ndio arsenal iliyonifanya niipende arsenal kwa timu za uingereza, km si arsenal hii basi ningekuwa mpenzi wa Liverpool kwa jinsi nilivyokuwa namuhusudu captain steven Gerrard
Arsenal hii ilikuwa inanikosha mnoo, dennis bergkamp bonge moja la player, ana jicho la 3, hatar akiwa na mpira mguuni, skills za kutosha akili nyingi kichwani!!
Th14 sijui nimuelezeaje huyu jamaa striker yangu bora namba 2 nyuma ya ronaldo de lima. Ana speed,skills,jicho la goli, jicho la pasi, anajua kufunga..
Patrick viera hatari akiwa na mpira, hatari asipokuwa na mpira mguuni, mapafu ya mbwa, mtu mgumu pae kati.. So sad alituacha arsenal tukiwa bado tunamuhitaji.
Wengine kwa haraka haraka namuona winterbun, lee dixon, petit, overmass(winga teleza), martin keown, tony adams na silvinho.
Hilo chama wakati huo unaenda kuangalia mpira bila pressure kabisa
Mim Man U na Nyota wangu wa muda wote kwenye Soka Paul Scholes.The best central midfield, The Einstein of football. Tangu naanza kuangalia ligi ya England 1995 sijamuona mchezaji wa kariba yake.Kweli wee Muhenga, alafu utakuwa the gunners mwenzangu, vipi Chelsea tutamuweza kweli final ya Europa cup
Alifunga dhidi ya Fc Sparta Praha, mwaka 2000.Nilikuwa mdogo sana under 5 hivi, lakini nakumbuka maneno haya kutoka kwa mtangazaji.
"Sylvinho with a ball, Sylvinho it's Sylvinho Sylvinho and still Sylvinho, Sylvinho Sylvinho Gooool. You won't believe this but is Sylvinho"
Hili goli nikumbusheni alifunga mechi ipi? Nahisi ilikuwa Champions League.
Mmmm wakati hapo ndio nazaliwa. Nafkiri ilikuwa 2003 au 2004.Alifunga dhidi ya Fc Sparta Praha, mwaka 2000.
Mule muleDuuuh! We muhenga walahii
Mkuu Makaveli10,Golia david seaman!! Hii ndio arsenal iliyonifanya niipende arsenal kwa timu za uingereza, km si arsenal hii basi ningekuwa mpenzi wa Liverpool kwa jinsi nilivyokuwa namuhusudu captain steven Gerrard
Arsenal hii ilikuwa inanikosha mnoo, dennis bergkamp bonge moja la player, ana jicho la 3, hatar akiwa na mpira mguuni, skills za kutosha akili nyingi kichwani!!
Th14 sijui nimuelezeaje huyu jamaa striker yangu bora namba 2 nyuma ya ronaldo de lima. Ana speed,skills,jicho la goli, jicho la pasi, anajua kufunga..
Patrick viera hatari akiwa na mpira, hatari asipokuwa na mpira mguuni, mapafu ya mbwa, mtu mgumu pae kati.. So sad alituacha arsenal tukiwa bado tunamuhitaji.
Wengine kwa haraka haraka namuona winterbun, lee dixon, petit, overmass(winga teleza), martin keown, tony adams na silvinho.
Mkuu Makaveli10,
Nigel Winterburn hayupo katika kikosi hiko. Sikumbuki vizuri ama alishaondoka au kwenye mechi hiyo alikuwa sub. Maana nafasi yake namiona Sylvinho hapo.
Hapo nauona ukuta wa chuma wa Arsenal uliokuwa unahama kama ulivyo kwenda kwenye majukumu ya timu ya taifa.
David Seaman, Lee Dixon, Martin Keown, Tony Adams (Mr. Arsenal)na huyo Winterburn ambaye hakuwepo kikosini. Eti leo hii mabeki wa kiingereza ni akina Smalling na John Stones. Aibu iliyoje.
Hakika nyakati ngumu hazipiti ila watu wagumu wanapita.
Huyo mwafrika ni Parick VieiraSijui hata mmoja
Hapo alikuwa bado kijana sana.Huyo mwafrika ni Parick Vieira
Unawazimu wewe eti Liverpool walikuwa vibonde ,yaani na siku hizi ilivyokuwa rahisi kupata historia bado hujui soka la England jifunze kutumia hata Google
Arsenal kuna kipindi walikuwa wazuri na ndio ulikuwa wakati wao ukawapenda basi hiyo isiwe sababu ya kuwadharau Liverpool the father of English soccer [emoji460] the conquer of Europe
Hapo hata SAF yalikuwa yanambana.Hii ni Arsenal iliyokuwa imesheheni mastaa wa kutosha tena wengine wakiwa ni washindi wa kombe la dunia.
Wataje nyota unaowakumbuka pichani hapo chini!
View attachment 1093496